mashine ya selcom

wakomong'we

Member
Oct 28, 2011
30
2
wakuu wana Board poleni kwa majukumu mazito mlionayo.Hoja yangu ni kutaka kujua ufanisi wa mashine ya selcom na hudama zake zote ukilinganishi na ile ya Maxcom,mimi ni mtumiaji wa mashine ya maxcom naitumia kwa huduma mbalimbali ikiwemo LUKU,M PESA,Voucher n.k.Sasa nilihitaji kujua je hawa Selcom wana huduma gani tofauti na hawa maxcom?Naamini sana katika JF.Ahsanteni sana
 
Mkuu naomba kujua hizi mashine ya maxmalipo vipi huduma zake na ni kiasi gani? wapo wapi? nitashukuru kwa ushirikiano wako.
 
Selcom Piga ....+255713644082 na Maxcom piga 0754444991...linganisha faida uamue
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom