Mashine ya kutengeneza mkaa wa kisasa inauzwa

Biashara2000

JF-Expert Member
Nov 9, 2013
636
540
Habari. Mpaka tarehe ya leo ninayofanya hii update ktk stock kuna mashine ya umeme yenye uwezo wa Ku produce gunia 8 kwa siku zile kubwa kabisa. Kwa chini kuna picha. Inatumia umeme single phase. Bei yake ni sh. 950,000 haishuki. Kwa bei hiyo utapata on site training pamoja na pipa bure. Kwa mashine hii utatoa mkaa wa kisasa mweusi na kuni za kisasa za kaki kutokana by na maranda na makapi ya mpunga. Ktk utengenezaji wa kuni hautachoma malighafi km wakati wa kutengeneza mkaa inavyokuwa. Ukishalipia malipo utapata training ya kutosha pamoja na jinsi ya Ku market na kutengeneza brand

Briquetting-250x300.jpg

Kuni za maranda

sawdust-briquettes-250x250.jpg

IMG-20180330-WA0005.jpg
0758 308 193
 
Attachments

  • IMG_20180131_122102.jpg
    IMG_20180131_122102.jpg
    92.3 KB · Views: 602
  • IMG-20180330-WA0003.jpg
    IMG-20180330-WA0003.jpg
    53 KB · Views: 464
Mzee je hiyo mashine inadeal na takataka za aina gan?ni takataka zote aina ya karatas au kuni au takataka gan
 
Nashukuruni kwa watu wote mlioniandikia msg. Karibu wote wameniandikia wakiniomba niwaelekeze jinsi mkaa huo unavyotengenezwa. Kuna wengine wao wameniomba waje watembelee mradi waone hiyo mashine nimewapa namba yangu. Na kuna wengine wameniomba niwaeleze jinsi ya kutengeneza mkaa huu bila kutumia mashine kwa kuwa hawawezi ku afford kununua mashine hizi.

Inawezekana kutengeneza mkaa huu nyumbani kwako kama una eneo la kutosha bila kuwa na mashine. Ila utahitaji pipa. Naweza kutoa mafunzo kwa watu wanaotaka. Gharama yake ni sh. 40,000/= pamoja na 1500/= ya nauli. Mafunzo haya ni kwa mkazi anayeishi Dar. Kutengeneza bila kutumia mashine utakuwa unatengeneza gunia 1 - 2 kwa siku kutegemeana na spidi ya mikono yako. So kwa kuweka investment ya 41500/= ndani ya siku 2 usharudisha investment yako (kama utakuwa unatengeneza gunia 2).

Asanteni
 
Safi sana. Ni Pm namba yako.
 
Mkaa unaotoka ni sawa na huu mkaa Tuliouzoea (Hauna moshi na unaweza Ivisha Maharage kwa kipimo kidogo). Naomba unijibu tafadhali.
 
Asanteni[/QUOTE]
Naomba unielekeze mahali ninapoweza kupata mashine hiyo mkuu ili tufanye biashara
 
Mkuu kwa nini usiweke namba yako tunaokuwa interested tukucheki au mpaka kila mtu akuombe,a we mtumie huko kizani
 
Weka namba yako mkuu tukutafute tulio interested,tusifanye biashara kama tunauziana bangi
 
  • Thanks
Reactions: 911
Serikali inatakiwa ipige marufuku biashara ya mkaa. Hili ni janga,vyazo vya maji na mazingira vinaharibika kutokana na kukata miti hovyo. Hakuna anayepanda.

The king.
 
Naomba kujua kama kuna muuzaji au mtengenezaji wa mshine hizi za kutengenezea mkaa mna mfahamu naomba mniunganishe naye naihitaji sana Nipo Njombe 0754397178 maweza nicheki
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom