Mhga Kombe
Member
- Mar 14, 2021
- 10
- 4
Habarini wana Jamvi,
Mimi ni mfugaji.
Nataka kuanzisha mpango kutengeneza chakula cha mifugo (kuku) cha kwangu mwenyewe; niachane na kununuwa.
Hivyo nataka mchango wa ushauri:
Na ningefarijika kukutana na mjasiriamali anaetengeneza chakula.
Tuanzie hapo
Mimi ni mfugaji.
Nataka kuanzisha mpango kutengeneza chakula cha mifugo (kuku) cha kwangu mwenyewe; niachane na kununuwa.
Hivyo nataka mchango wa ushauri:
- Ni mashine ipi ingekuwa bora. ( nn sifa zake)
- Upatikanaji wa malighafi ( mahind, dagaa, mashudu, n.k)
Na ningefarijika kukutana na mjasiriamali anaetengeneza chakula.
Tuanzie hapo