Mashine ya Kutengeneza Chakula cha Kuku

Mhga Kombe

Member
Mar 14, 2021
10
4
Habarini wana Jamvi,

Mimi ni mfugaji.
Nataka kuanzisha mpango kutengeneza chakula cha mifugo (kuku) cha kwangu mwenyewe; niachane na kununuwa.
Hivyo nataka mchango wa ushauri:
  • Ni mashine ipi ingekuwa bora. ( nn sifa zake)
  • Upatikanaji wa malighafi ( mahind, dagaa, mashudu, n.k)

Na ningefarijika kukutana na mjasiriamali anaetengeneza chakula.

Tuanzie hapo
 
vertical feed mixture inaweza kukusaidia zaidi inatumia motor ndogo na umeme pia
 
Mkuu unafuga kuku wangapi?

Kuhusu malighafi useme ni aina gani ya malighafi unahitaji. Useme unafuga kuku wa aina gani. Wa kienyeji, kisasa, mayai, nyama au chotara

Hao wote wana mahitaji tofauti
 
Mkuu unafuga kuku wangapi?
Kuhusu malighafi useme ni aina gani ya malighafi unahitaji.
Useme unafuga kuku wa aina gani. Wa kienyeji, kisasa, mayai, nyama au chotara
Hao wote wana mahitaji tofauti
Mamesho,
Kwa wastani huwa ninao kuku wasiopunguwa 1700 - 2000. Kati yao, wastani 1200 ni broiler, 200 layers. Chotara na mabata pia wapo. (Ni shamba lenye nafasi).
Malighafi ninayohitaji ni mahindi, mashudu, dagaa (bei iwe rafiki kwa vyote)...
 
Tunazo za aina hii...ni multifunctional animal feed processing mashine. Ina fanya kazi kama chaff cutter...kwaajili ya kukata majani ya mifugo, inatengeneza chakula cha kuku, nia inauwezo wa kusaga dona/chakula cha mbwa.

Inasaga wastan wa kilo 300 kwa saa

Inauwezo wa kutumia umeme au mafuta kwa wenye matumizi kwenye mashamba yasiyo na huduma ya umeme.

Ukiweka order, unakabidhiwa mashine ndani ya siku 14.

Bei ni 2,800,000/-.

Mawasiliano: 0755815174. Tupo boko, dar es salaam.
 

Attachments

  • Screenshot_20210324-215101.png
    Screenshot_20210324-215101.png
    218.5 KB · Views: 35
Back
Top Bottom