MASHINE YA KUTENGENEZA BARAFU ZA VIJITI(chostick)ZINAPATIKANA WAPI NA KWA SH.NGAPI. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MASHINE YA KUTENGENEZA BARAFU ZA VIJITI(chostick)ZINAPATIKANA WAPI NA KWA SH.NGAPI.

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by kdany, Jul 23, 2012.

 1. k

  kdany Senior Member

  #1
  Jul 23, 2012
  Joined: Jul 20, 2012
  Messages: 150
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Wakuu naomba msaada wa juu ya kupata mashine ya kutengeneza ice cream au chostick za vijiti zenye umbo km triangle.natangulza shukran.
   
 2. Madikizela

  Madikizela JF-Expert Member

  #2
  Jul 28, 2012
  Joined: Jul 4, 2009
  Messages: 320
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  Ni pm nitakusaidia
   
 3. dmaujanja1

  dmaujanja1 JF-Expert Member

  #3
  Jul 28, 2012
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 225
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kuna usiri upi mpaka aku PM Boss! Funguka kwa manufaa ya Umaa wa JF.
   
 4. Money Stunna

  Money Stunna JF-Expert Member

  #4
  Jul 29, 2012
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 13,105
  Likes Received: 284
  Trophy Points: 160
  wanaokimbilia kusema ni pm,wanataka kutapeli wenzao,so akisema apa watu watashtuka,kuna jamaa aliwai kuniambia hivo ni pm,nikaona anataka kutapeli,ataanza kuniambia nitumia pesa kwa mpesa nitakutumia wakat anatumia jina la ajabu apa jf na umjui kabisa,kuweni makini bandugu
   
Loading...