Mashine ya Kusaga na Kukoboa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mashine ya Kusaga na Kukoboa

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Enny, Oct 19, 2009.

 1. Enny

  Enny JF-Expert Member

  #1
  Oct 19, 2009
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 982
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Habari wana JF. Natafuta mashine ya kukoboa na kusaga inayotumia diesel kwani nataka kupeleka kijijini ambako umeme haupo na watu wanatembea umbali mrefu kwenda kupata huduma hiyo.

  Mwenye idea ya hizi mashine naomba msaada ni aina gani ya mashine ndiyo inafaa zaidi ya zingine na bei zinaendaje?

  Natanguliza shukrani zangu kwenu.
   
 2. Semilong

  Semilong JF-Expert Member

  #2
  Oct 20, 2009
  Joined: Mar 5, 2009
  Messages: 1,711
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  nime ku pm contact
   
 3. ChaMtuMavi

  ChaMtuMavi JF-Expert Member

  #3
  Oct 20, 2009
  Joined: Oct 15, 2008
  Messages: 333
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33

  Samahani, hata Dar we weka tu si unaona umeme wenyewe wa mgao!
   
 4. ChaMtuMavi

  ChaMtuMavi JF-Expert Member

  #4
  Oct 20, 2009
  Joined: Oct 15, 2008
  Messages: 333
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ila Enny naona mambo yako poa. Hongera sana, we ni kwa mbele tu, dada na ma mdogo walie tu.
   
 5. Gudboy

  Gudboy JF-Expert Member

  #5
  Oct 20, 2009
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 799
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  watakuambia hapa wataalam, ila za diesel niliziona siku nyingi maana kuna baadhi ya vijiji umeme upo so wanatumia za umeme
   
 6. Enny

  Enny JF-Expert Member

  #6
  Oct 20, 2009
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 982
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Sijaona hizo contact ndugu yangu. Naomba niwekee hapa nimeshindwa kufungua hiyo sms
   
 7. Enny

  Enny JF-Expert Member

  #7
  Oct 20, 2009
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 982
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Sijaona hizo contact ndugu yangu. Naomba niwekee hapa samahani kwa usumbufu maana siwezi kufungua ingawa kuna sms ilisema kuna private message
   
 8. Shemzigwa

  Shemzigwa JF-Expert Member

  #8
  Oct 20, 2009
  Joined: Jan 8, 2007
  Messages: 337
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  wakisha kuPM na mie niPM nipate faida au vipi?
   
 9. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #9
  Oct 20, 2009
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,314
  Likes Received: 5,605
  Trophy Points: 280
  Nenda barabara ya morogoro ................agro mechanics
   
 10. Enny

  Enny JF-Expert Member

  #10
  Oct 20, 2009
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 982
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Ahsante nashukuru nitawatrace
   
 11. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #11
  Oct 20, 2009
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,159
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Fanya hivi:

  Angalia hapo juu kulia pameandikwa haya:

  Welcome, Enny.
  You last visited: ....... at ......................
  Private Messages: Unread 1, Total 1.

  Gonga hapo palipoandikwa Private Messages, itatokea menu ndefu, chagua unread message...utakuwa umeshafika kny message hiyo! Ukishindwa, shout tu will help you!
   
 12. B

  Bao3 JF-Expert Member

  #12
  Oct 20, 2009
  Joined: Aug 7, 2009
  Messages: 318
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Hivi MMT nao nilisikia wanatengeneza mashine kama hizo pamoja na vipuli vyake. Sijui kwa sasa kama wameongeza au kuua uzalishaji maana ni SU(shirika la umma) ile.
   
 13. Enny

  Enny JF-Expert Member

  #13
  Oct 20, 2009
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 982
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  mmt kirefu chake ni nini?
   
 14. Mwana va Mutwa

  Mwana va Mutwa JF-Expert Member

  #14
  Oct 30, 2009
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 429
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  pitia pia sido wanazo machine za kusaga na kukoboa
   
 15. Enny

  Enny JF-Expert Member

  #15
  Oct 30, 2009
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 982
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Asante nashukuru unaweza nipa contact zao tafadhari
   
Loading...