INAUZWA Mashine ya kusaga na kukoboa mahindi inauzwa

hnp

JF-Expert Member
Dec 4, 2020
276
473
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu.

Mashine ipo Gongo la Mboto, Majohe, Dar Es Salaam. Bei ni Milioni 4 tu (Hii ni ofa ya mwisho haipungui zaidi ya hapo). Utapewa pamoja na vifaa vyake kama; mashine ya kufumia viroba,vifaa vya kusafishia mashine, chekecha la mahindi, pipa na pia ukiwemo mzani wa kupimia mizigo mpaka kg 300.
Inatumia Rolla 2 na HP ya 25.
Mawasiliano ni 0757 726 956.

IMG-20210602-WA0015.jpg

View attachment 1924912View attachment 1924915View attachment 1924917View attachment 1924916
 
Dah! Very cheap. Yaani atakaye nunua, anakua moja kwa moja Mkurugenzi na mmiliki halali wa kiwanda cha kusaga unga wa sembe!

Hii ilikua ni biashara niliyo itamani sana kuifanya katika maisha yangu. Ila ukosefu wa muda wa usimamizi, ulichangia kuniogopesha na hivyo mwisho wa siku nikaishia tu kubadili gia angani.
 
Bado una ukosefu wa mda na usimamiz?
 
Yah! Narudi kazini saa 10 jioni, mapumziko ni Jmos na Jpili pekee. Likizo mpaka Disemba!

Hii biashara inahitaji sana usimamizi lakini pia uwezo wa kusafiri kufuatilia malighafi maeneo tofauti yanako uzwa kwa bei nafuu ili kupata faida kubwa bila shaka.
Huwez kumueka mkeo akawa anaisimamia au huna imani nae?
 
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu.

Mashine ipo Gongo la Mboto, Majohe, Dar Es Salaam. Bei ni Milioni 4 tu (Hii ni ofa ya mwisho haipungui zaidi ya hapo). Utapewa pamoja na vifaa vyake kama; mashine ya kufumia viroba,vifaa vya kusafishia mashine, chekecha la mahindi, pipa na pia ukiwemo mzani wa kupimia mizigo mpaka kg 300.
Inatumia Rolla 2 na HP ya 25.
Mawasiliano ni 0757 726 956.

View attachment 1924542
View attachment 1924912View attachment 1924915View attachment 1924917View attachment 1924916
Hivi unauza mashine au unauza unga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah! Very cheap. Yaani atakaye nunua, anakua moja kwa moja Mkurugenzi na mmiliki halali wa kiwanda cha kusaga unga wa sembe!

Hii ilikua ni biashara niliyo itamani sana kuifanya katika maisha yangu. Ila ukosefu wa muda wa usimamizi, ulichangia kuniogopesha na hivyo mwisho wa siku nikaishia tu kubadili gia angani.
Na ile hela ukala

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda uwe unauza na jengo. Kwa bei hiyo unapata mashine ulizozitaja dukani mpyaaaa
 
Wanakupa na vifaa vya 3 phase? Mzani wa kupimia hadi kg 300? Mashine ya kushonea viroba? Nyenzo mbalimbali za kutengenezea mashine?
 
Back
Top Bottom