Nahitaji Mashine ya kusaga matunda

Mkuu Miss N nimeipenda hii,unamaanisha inachuja juice na kupoza huko huko au?
mimi naitumia hii hapa ,haina haja ya kuchuja ,inasaga mara moja kila kitu kinakuwa uji. kama ni tango au embe au karoti ukiosha vizuri unasaga na maganda yake pia inaokoa muda maana unakunywa huko huko unatoa mashine unaweka mfuniko.ina vijagi vya ziada pia .dar kariakoo ni elf 75,village supermarket niliona hyo hyo laki moja na ishirini.
 
ahaaaa nahamia kabisa kujipika humo

ahahhaa tafuta michezo ya kupeana vyombo !ucheze unanunue jiko ! mie kuna dude moja jaman nimeisahau jina huwa nalala naliota !linavuta harufu yooote unayopika unalijua? lipo km funnel hv ! sio unapika samosa had sebulen isikike haihu !mwee nimelisahau jina
 
ahaaa hilo silijui ila najua tu kuchemsha mdalasini au amira inavuta harufu yote.ngoja kweli nitafute mchezo wa kupeana vyombo
 
ahaaa hilo silijui ila najua tu kuchemsha mdalasini au amira inavuta harufu yote.ngoja kweli nitafute mchezo wa kupeana vyombo

ohh pale napopika ndo nachemsha pemben ?? sipend unakaanga samaki unakuta sebule yote inasmell samaki samak
 
upload_2017-9-25_15-20-6.jpeg
 
Back
Top Bottom