Mashine ya kupimia idadi ya uliotembea nao yagunduliwa

Fursa hii,ngoja nijichange nianzishe Clinic ya vipimo,hii inaenda kupunguza mahari kabisa

Kama binadamu tumeweza hii,hapa ndio naanza kuamini Siku ya mwisho kila uchafu wa mtu utawekwa hadharani kabla ya kuputwa motoni
 
Ndio maana sina mpango wa kuwa kwenye maisha ya ndoa!

Mke wako anakwambia umetoka kwa hawala, unakataa, anapigia simu wazazi wa pande zote mbili, mnaenda hospitali kupima michakato, analipia elfu kumi, unapimwa!

Mashine inasoma
DRIVING TIME: 4hours
EJACULATION TIMES: 2 times
HIS PARTNER'S ORGASM: 4 times
PREPARATION TIME: 2 hours
DRIVING ROOTS: Both
PARTNER'S STATUS: Beautiful, Big butt,
Form 3, sharp bobs,
White
OUT SEX TIMES SINCE WEDDING: 205 ×
129 partners (15 to 36 YRS)
2 partners (71 YRS) 1partner(9 YRS)

Muda huo mkeo unamkimbiza dk 3 kama kuku!

 
Mademu wa sinza wale akilishika tu linaanza kusoma akilivaa litaandika over range.
 
Huku ikiletwa,itapata ukinzani Mkubwa sana,watu watamuuliza mwanaume au mwanamke,'unampenda au humpendi?' kama unampenda kwanini hadi umpime....?hahahaaa!
Italeta noma kama suala la kuhack simu y mpenzi linavyokataliwa...
 
Back
Top Bottom