Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 5,795
- 13,034
Kaka salama?Kama mnavyofahamu wakulima tunapaswa kuongeza ufanisi wa kazi yetu hii kwa kuongeza matumzi ya zana bora za kisasa ,mimi mwenzenu nimeagiza mashine ya kupalilia inaitwa BRUSH CUTTER japo ina majembe ya kulima ,kupalilia na kufyeka sasa leo nimeamua niiwashe .Nikatia petrol kwenye tank nikaweka oili kwenye port ya oil ila kuwasha mashine haiwaki na tatizo ni kwamba sijajua kijiswichi fulani hivi kinatakiwa kuwa wapi wakati nawasha na zaidi nimekuja kutazama mafuta yake naambiwa eti huwa ni mchanganyiko wa petrol na oili sasa naomba msaada hapo kwa wenye mashine ya aina hii au utaalamu mnisaidie nifanye nini mashine iwake.
Ni Honda GX35 ,4 stroke
Kwa mwenye uzoefu ni vema tupeane namba hapa nimpigie anielekeze vizuri
My number 0755346718/0625911797
Kama upo Iringa ni PM ili Nikupe dili/tenda ya kufyeka/kukata majani kwenye Shamba langu la Parachichi.
Ni Eka 10.
#ASANTE