Mashine ya kunyanyua vitu vizito (crane) bandarini Dar Es Salaam yatumbukia baharini

Ngariba1

JF-Expert Member
Jan 12, 2017
1,703
3,454

Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) inaujulisha Umma kuwa Jumapili tarehe 23 Mei 2021, Majira ya saa 8 Mchana katika Bandari ya Dar es Salaam, mashine ya kunyanyua vitu vizito (crane) iliyokuwa ikishushwa kutoka kwenye meli ya LCT AJE 1 ilipata ajali ya kutumbukia baharini.

Mashine hiyo yenye uzito wa takribani tani 70 iliwasili kwa meli katika Bandari ya Dar es Salaam ikitokea visiwa vya Songosongo na ilikuwa ikishushwa katika eneo la Gati la Malindi. Zoezi la kuiopoa mashine hiyo linaendelea.
IMG_20210526_085457.jpg

Credit: Le Mutuz TV
 
Upuuzi kabisaa, sasa hapo walitaka waiotoeje, ipae.....?
Ikumbukwe hapo ni bandarini, kina chake si cha kawaida, kupandisha ni ndoto au gharama zake ziwe kubwa mnoo.

Hii nchi imezidi futuhii,
 
View attachment 1797848
Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) inaujulisha Umma kuwa, Jumapili tarehe 23 Mei 2021, Majira ya saa 8 Mchana katika Bandari ya Dar es Salaam, mashine ya kunyanyua vitu vizito (crane) iliyokuwa ikishushwa kutoka kwenye meli ya LCT AJE 1 ilipata ajali ya kutumbukia baharini.

Mashine hiyo yenye uzito wa takribani tani 70 iliwasili kwa meli katika Bandari ya Dar es Salaam ikitokea visiwa vya Songosongo na ilikuwa ikishushwa katika eneo la Gati la Malindi. Zoezi la kuiopoa mashine hiyo linaendelea.
View attachment 1797847
Credit: Le Mutuz TV

Hujuma?

E0NhMwdXIAAW0HL.jpeg
 
Mama anazidi 'kukaribishwa' mjini

Tumetoka kwny Luku, tukapitie kwny mfumo wa malipo siku mbili tatu, tukapumzika kwny uvamizi na Ujambazi sasa hivi tupo bandarini 'tunalowanisha' vitendea kazi!

Karibu Nyumbani kumenoga!A
Kazi inaendelea
 
Back
Top Bottom