Mashine ya kukunjia maua kwenye mageti ya grill

dasi besi

Senior Member
Jun 12, 2015
190
105
habari za leo ndugu zangu, mi nahitaji kujua mashine hii inatumika kutengeneza/kukunjia maua kwenye mageti ya grill; inaitwaje kitaalamu, bei yake na wapi naweza kuipata.
natanguliza shukurani.
 
Wait sabasaba, kuna mzungu mmoja huwa anakuja nazo, anateknolojia nzuri Sana. Unaweza kukuja maua na design nyingi za madirisha na mageti mengi for few minutes. Yeye huwa anauza siku za sabasaba only.
 
Back
Top Bottom