Mashine ya kukoboa na kusaga inauzwa

kerai

JF-Expert Member
Oct 28, 2013
222
150
Habari wanajukwaa,

Mashine ya kokoboa na kusaga inauzwa kwa bei ya haraka ikiwa na vitu vifuatavyo;
-Kinu cha kukoboa roller 3. ( bodi za chuma ni zile nzito)
-Kinu cha kusaga Number 75.
-Mota 2 za kusaga na kukoboa Horse power 30 kila moja.
-Wiring system nzima yaani pamoja na socket zake zote, nyaya, main switches.

inauwezo wa kusaga tani 8 mpaka 10 kwa siku.

Bei yake ni Million 8 na mazungumzo yapo.

Tunaweza ingia pia makubaliano kwa mtu anayehitaji kuikodisha ili kufanya kazi.

ipo dar es salaam.

Ipo kwenye Godown kubwa kama utaamua kuendelea kufanyia biashara hapo kodi imelipwa mpaka mwezi wa 6.

Nipigie tuzungumze 0769630209.
 
Weka picha kiongozi
 
Nikodishie Mimi ila inabidi niilete mkoani,tutaandikishiana kila kitu
 
Mashine ndo hiyo, nipe bei yako ntakwambia km naichukua
01cd93bd4b3b0901f2365b581beeb558.jpg
59e88af2b4c6b5ecc197b155ea77b8c1.jpg
fd4e113dd164c3a0980f63af84693915.jpg
9b16b93644b40d445be33093d198fe17.jpg
43b91225641ff256a2ae6625fe671e33.jpg
 
Zamani sana mpka nishasahau. Hiyo hela yako kanywe bia tu ndugu.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom