mashine ya kukamata wezi

nyambari

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
355
171
ilitengenezwa mashine kwa ajili ya kukamata wezi, ilipopelekwa marekan ilikamata wezi 444, ikapelekwa india ikakamata wezi 240, kenya ikakamata wezi 50 ikaletwa tanzania unajua kilichotokea nini mashine yenyewe ikaibiwa :painkiller:
 
hahhahahhahahhahaha lol
umenichekesha sina hamu...
kwa hiyo badala ya waizi kukamatwa, wenyewe ndo waikamata hiyo camera ..
kuna raha duniani..aahhhh hatari
 
Hii kali inaonyesha ni jinsi gani wabongo walivyokuwa wataalamu...
 
Yap mimi hapa ndio mmiliki wa huo mtambo (wizi stopper) ndg mwandishi wa habari unajua hili sakata lili tokea mcha kweupeee tena mbele ya watu wengi.japo mtambo una kilo mia nne lakini ulikwapuliwa kwapu! Kama mwewe afanyavyo.kinacho niuma mimi ni pesa humo ndani ya mtambo kuna pesa nyigi maana huu mtambo ulikuwa unafanya kazi kibao tofauti na hii ya kupima wezi.mtambo huu nao ulikuwa una iba kwa kila mtu anaeingia ndani ya mashine kupimwa.
 
Mtambo wangu ulikuwa na akili kuliko mimi nilie utengeneza.mtambo ulikuwa ukiiba kwa mtu kama alikuwa na elfu kumi mtambo unarudisha na chenji mtambo ulikuwa na kawaida ya kuiba nusu ya pesa alizo nazo mtu.ah ngojeni nilie uchungu upungue.iiiiihh ! Oooweeee! Mama weeeeeee!!uwiiiii! Ah jamani nisaidieni kutafuta mtambo ataka upata nitampa zawadi ya makofi mawili moto moto.
 
ilitengenezwa mashine kwa ajili ya kukamata wezi, ilipopelekwa marekan ilikamata wezi 444, ikapelekwa india ikakamata wezi 240, kenya ikakamata wezi 50 ikaletwa tanzania unajua kilichotokea nini mashine yenyewe ikaibiwa :painkiller:

Unanikumbusha jinsi mbwa wa jirani yangu alivyoibiwa usiku na vibaka baada yakulia mara moja tu mimi na majirani tulitoka nje ndipo na jirani yetu alieibiwa Mbwa akatoka nje na tueleza kuwa amewaona watu wawili wakimbeba Mbwa wake lakini baada ya muda kama dakika 5 mbwa alikuja anahema akiwa na Gunia shingoni nadhani aliwauma
 
Back
Top Bottom