Mashine mpya ya kisasa yanunuliwa na Serikali kwa ajili ya Taasisi ya Saratani ya Ocean Road

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
2,206
4,697
Mashine hiyo ya kisasa imegharimu mamilioni ya fedha za walipa kodi.

Itatumika kufanya uchunguzi wa saratani ya matiti kwenye Taasisi ya Saratani ya Ocean Road.

Matumizi sahihi ya Rasilimali huleta maendeleo kwetu sote.

FB_IMG_16001456689589173.jpg
FB_IMG_16001456747752917.jpg
FB_IMG_16001456797961843.jpg
 
Back
Top Bottom