Mashine inauzwa ya kusaga na kukoboa

hnp

JF-Expert Member
Dec 4, 2020
276
473
Habari wana JF!

Mashine hii inauzwa na bado haijapata mteja bei yake ni Milioni 5 tu. Unapewa kila kitu ikiwemo; mzani wa kupima hadi kg 300, motor n.k. Haina tatizo lolote ni vile tu tajiri ameamua kubadili biashara. Ipo Dar Es Salaam, Gongo la Mboto-Majohe(Unaweza kuihamisha ukitaka). Mashine ina miezi kadhaa toka inunuliwe na ina risiti zake.

Kwa maelezo zaidi na kutaka kufika eneo ilipo mashine piga 0757 726 956.

Ahsanteni!

IMG-20210602-WA0012.jpg
 
Vipi mkuu je kukodisha inaruhusiwa au kuweka ubia yaani me niifanyie kazi then yeye apate gawio kutokana na faida tutakayoipata?
 
Hiyo mashine iko kwenye eneo la kukodi au la mmiliki wa hiyo mashine?
Ukinunua kwa bei hiyo unaweza kunaendelea kuitumia ikiwa hapohapo?
Najibu pesa inaniwasha hapa
 
Hiyo mashine iko kwenye eneo la kukodi au la mmiliki wa hiyo mashine?
Ukinunua kwa bei hiyo unaweza kunaendelea kuitumia ikiwa hapohapo?
Najibu pesa inaniwasha hapa
Ipo kwenye fremu ya kukodi na fremu ipo barabarani kabisa.
 
Vipi mkuu je kukodisha inaruhusiwa au kuweka ubia yaani me niifanyie kazi then yeye apate gawio kutokana na faida tutakayoipata?
Please call 0755815174 kama unahitaji ya kukodi...unapewa pamoja na jengo lake
 
Hiyo mashine iko kwenye eneo la kukodi au la mmiliki wa hiyo mashine?
Ukinunua kwa bei hiyo unaweza kunaendelea kuitumia ikiwa hapohapo?
Najibu pesa inaniwasha hapa
Ipo ya kukodi pamoja na jengo lake 0755815174....
 
Ipo ya kukodi pamoja na jengo lake 0755815174....
Ivi kwann husingeanzisha uzi wako maalumu wa kumtafuta mtu wa kumkodisha kuliko kudandia uzi wa mtu na kumharibia biashara?
 
Motor HP ngap?
Inatumia meno mangap?

Mzani wa electronics ama?
Weka fu specification
 
Back
Top Bottom