Mashine ya kilimo cha umwagiliaji

Niliwahi kuambiwa na muuzaji wa pump kuwa Kuna machine zinaitwa JD zipo vizurisana ingawa yeye hakuwa nazo, na nikaja kuambiwa na mkulima ambaye yeye anazitumia, jaribu kufuatilia hizo huwenda zkakufaa.
Shkran kiongozi
 
Waterpump zinazopatikana kwa wingi nchini mwetu zote ni kutoka china. Hazidumu sana yaani sio kusema "umeinunua wewe hadi mjuu ataitumia...!"
Kibongo bongo inabidi uendane na hali halisi make ukichukua mashine ambayo siyo popular kwenye soko say japanese or german made utajikuta unateseka sana kwenye spareparts zake japo ni imara sana.
Hivyo nakushauri uendane na wakati uliopo mkuu.

Waterpump inayobamba asahivi sokoni na kwa ubora ni BOSS. Chukua 3" horse power6.5+ ni babalao inatumia wese kidogo na si bogojo kama haya mengine sijui zwing zwong mara zwong zwing na honda.
Bei inategemea na location ulipo make miaka ya hivi karibuni waterpump zimepandishwa bei baada ya wajasiriamali kuzibadili matumizi kuwa vinu vya kupukucha mahindi.
Hii 3" ina range tsh350-400k bila mipira wala koromeo.
 
[/URL]
Angalia hiyo link, hao jamaa wanahusika sana na mambo ya maji ikiwemo hizo pump. Fika ofisini kwako na hizo details zako za shamba watakushauri pump ipi inafaa. Ninamiliki pump 2 zote wakati naenda kununua nilienda na details zangu kwamba nataka zivute maji umbali wa mita ngapi na zipandishe umbali wa mita ngapi kwenda juu na chanzo changu cha maji ni kipi. Wao kazi yao watakushauri ipi inafaa na warranty na guarantee pia utapata kama ikishindwa kufanya kazi uliyokusudia. Achana na watu wanaokutumia namba uwasiliane nao au mwenye pump nyumbani ambayo haitumii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa uwa wana bidhaa zenye ubora na bei zao pia zimesimama imara.
 
Back
Top Bottom