Mashine aina ipi na bora ya ya umwagiliaji ( water pump)

VON BISMACK

VON BISMACK

Member
Joined
Jul 11, 2018
Messages
69
Points
125
VON BISMACK

VON BISMACK

Member
Joined Jul 11, 2018
69 125
Msaada wa anayetambua vyema ubora wa aina za mashine za umwagiliaji wa bustani.
Vigezo
Gharama isizidi 350,000
Inauwezo wa kusukuma maji umbali M150
Haitumii mafuta mengi
Inauwezo wa kukaa mda mrefu bila marekebisho.
Karibuni
 
Kapachino

Kapachino

Member
Joined
May 23, 2019
Messages
68
Points
125
Kapachino

Kapachino

Member
Joined May 23, 2019
68 125
Nami pia nasubiria wataalumu wa mambo! Watujuze mkuu
 
Pierreeppah

Pierreeppah

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2014
Messages
1,538
Points
2,000
Pierreeppah

Pierreeppah

JF-Expert Member
Joined Feb 2, 2014
1,538 2,000
Kwa sifa hizo hiyo unayotaka Honda ndogo itakufaa
 
E

Ellynho47

Member
Joined
Jun 5, 2019
Messages
75
Points
125
E

Ellynho47

Member
Joined Jun 5, 2019
75 125
Niliwahi kuambiwa na muuzaji wa pump kuwa Kuna machine zinaitwa JD zipo vizurisana ingawa yeye hakuwa nazo, na nikaja kuambiwa na mkulima ambaye yeye anazitumia, jaribu kufuatilia hizo huwenda zkakufaa.
 

Forum statistics

Threads 1,315,048
Members 505,132
Posts 31,846,404
Top