Mashindano ya Ufupi Dunian

Lume

Member
Dec 5, 2010
18
1
Kulikua na mashindano ya kumpata mtu mfupi kuliko wote duniani.
Jamaa m1 alikuwa mfupi kama chupa ya bia, alipokwenda kwenye ukumbi wa mashindano akakuta mlinzi getini ni mfupi amekalia kiberi cha njiti. Hebu fikiria washiriki waliopo ndani watakuwa wafupi kiasi gani?
 
Imposimble jamaniiiiiii haaaaaa haaaaaa haaaaaa teeeeee teeeeeeeee teeeeee kaaaaaaa kaaaaaaa kaaaaaaaa uuuuuuu uuuuuuu uuuuuuuuuwiiiiii
 
Nadhani humo ndani washiriki watakuwa wadogo kawa wale wadudu waliokuwa wanapatatikana katika kisamvu enzi zile walijulikana kama dudu mtu walikuwa wadogo sana kama kidonge cha pilton.
 
huyo mbona mrefu sasa mwingine alikuwa mfupi kama kidonge cha asprin alipoenda kwenye ukumbi wa mashindano akijua yeye ni mshindi akakuta mlinzi wa getin amekalia wembe na miguu inaningia ikabidi mshikaji arud nyumbani kwani kama mlnzi ni mfupi vile vipi sasa hao washindani
 
Back
Top Bottom