Mashindano ya 'U-Miss' Yamezidi. Michezo Mingine Tumeisahau?...Twisted Priority?

Thats why we are far behind them. We don't know how to priorities.
Inatia huruma sana......ndio maana wazungu wanatuona hamnazo....hii inanikumbusha watu ambavyo wanakuwa wagumu kucnagia elimu......wenzentu wakenya mtoto wa kapuku anachangiwa harambee na kwenda kusaka elimu sisi wivu sana....
sisi tunachangia harusi,birthday party,babay shower,ubarikio na mazaga zaga mebgine.....
 
Dah mkuu hizo sherehe ndiyo usiseme. Mtu harusi ana changisha aka fanyie reception Landmark Hotel au Movenpick na mabenzi halafu kesho yake yeye na mwali wake wanaamkia Buguruni na mambo ya dala dala. Tunapenda ujiko wa kijinga sana mabao kesho na kesho kutwa hauna faida yoyote. Ndiyo maana hatusongi mbele maana kila siku tuna lishwa visamaki hatu taki kujifunza kuvua wenyewe.
 
Yes, the word is TWISTED PRIORITY.

Hapo unakuta mababa na mama, tena wanaoweza kusemekana kuwa ni wasomi, wamekaa chini wakisugua vichwa ni namna gani watakavyoweza kumzawadia mrembo. Halafu mmoja wao mwenye upeo na influence kubwa akajitokeza..... oooh, tumpatie Range Rover, mnaonaje wanakamati?!!! Makofi...pwa-pwaa- pwapwapwa----pwaaaa!!

Jamii yetu ni dumazi!
 
What's goin on with Miafrika aisee? kuna kazi sana wakati wenzetu wanashindanisha vijana kwenye teknolojia sisi tunatoa gari la mamilioni kwa mtu kuonyesha nyeti zake hadharani.....
Inatia huruma sana......ndio maana wazungu wanatuona hamnazo....hii inanikumbusha watu ambavyo wanakuwa wagumu kucnagia elimu......wenzentu wakenya mtoto wa kapuku anachangiwa harambee na kwenda kusaka elimu sisi wivu sana....
sisi tunachangia harusi,birthday party,babay shower,ubarikio na mazaga zaga mebgine.....
Kwani Wakenya sio Waafrika ? Au kwa lugha nyingine, kwani Wakenya ni Wazungu? Nadhani title na maelezo yake vinapingana, otherwise edit kimojawapo.
 
Dah mkuu hizo sherehe ndiyo usiseme. Mtu harusi ana changisha aka fanyie reception Landmark Hotel au Movenpick na mabenzi halafu kesho yake yeye na mwali wake wanaamkia Buguruni na mambo ya dala dala. Tunapenda ujiko wa kijinga sana mabao kesho na kesho kutwa hauna faida yoyote. Ndiyo maana hatusongi mbele maana kila siku tuna lishwa visamaki hatu taki kujifunza kuvua wenyewe.
kuna mtu mmoja humu nimemsahau alisema ziwepo awards kwa watu wanaofanya mambo mazuri kwa taifa(kama sijakosea kauli yake)........nyie angalieni haya mashirika kama vodacom pesa nyingi wanazipeleka wapi...kama sio kwenye mashindano haya.......yaani sisi hatuangalii miaka 10 mbele....

ukweli ni tuko nyuma sana kiteknolojia na dunia hii tutabakia kuwa watazamaji tu.....hata investment zetu sio za kuleta tija kwa kizazi kijacho.....kial mtu anataka kufungua bar na guest house....

Nani aliwahi kusafiri kwa bus toka dar kupitia nairobi,kampala mpaka bukoba?.....ukiwa upande wa tzanzania utaona bar na guest house nyingi....ukiwa pande ya kenya utaona mashamba makubwa makubwa na investment za maana kama viwanda......ukiwa upande wa Uganda utaona kwa wingi shule nyingi.....ukiingia Mtukula ni bar kwa kwenda mbele......
 
Kwani Wakenya sio Waafrika ? Au kwa lugha nyingine, kwani Wakenya ni Wazungu? Nadhani title na maelezo yake vinapingana, otherwise edit kimojawapo.
mkuu hoja yako ni ipi so far? mkuu kwani weye mgeni na msemo huu hapa JF?
 
Mfano mzuri ni Zain African challenge. Unaona haya makampuni mengine yanavyo invest kwenye vitu vya maana? Sasa makampuni mengine kazi kuzamini umiss tu na mashindano mengine ambayo hayana tija. By the way, ume notice wasomi wetu wanavyo buruzwa na vyuo vya wenzetu Zain African challenge?
 
mkuu hoja yako ni ipi so far? mkuu kwani weye mgeni na msemo huu hapa JF?
Naufahamu sana tu huo msemo uliotoka kwenye signature ya member mmoja humu, ila hoja ni kwamba haileti maana kuwaponda Waafrika kwa mifano ya mambo mazuri yafanywayo na Wakenya, as if Wakenya sio subset ya Waafrika !!
Miafrika ndivyo ilivyo
 
Kwani Wakenya sio Waafrika ? Au kwa lugha nyingine, kwani Wakenya ni Wazungu? Nadhani title na maelezo yake vinapingana, otherwise edit kimojawapo.

Mkuu kwani kasema wapi Wakenya ni wazungu au vise versa? Yeye katoa mfano wa mambo wanayo yapa kipaombele wenzetu na ambayo sisi pia tuna paswa kuyapa kipaumbele.
 
Mfano mzuri ni Zain African challenge. Unaona haya makampuni mengine yanavyo invest kwenye vitu vya maana? Sasa makampuni mengine kazi kuzamini umiss tu na mashindano mengine ambayo hayana tija. By the way, ume notice wasomi wetu wanavyo buruzwa na vyo vya wenzetu Zain African challenge?
Ni aibu kubwa mkuu......mods kumbe kuna thread ili discuss vizuri......mnaweza kui merge hii
https://www.jamiiforums.com/habari-...hezo-mingine-tumeisahau-twisted-priority.html
 
By the way, ume notice wasomi wetu wanavyo buruzwa na vyuo vya wenzetu Zain African challenge?

If you would have asked me, that aint a thing. Ni mashindani ya sungura the hare..Ktk level ya University mwanafunzi anatakiwa awe more than kasuku, anatakiwa afanye tafakuri na sio mambo ya kubahatisha na kujibu kwa haraka.
 
What's goin on with Miafika aisee? kuna kazi sana wakati wenzetu wanashindanisha vijana kwenye teknolojia sisi tunatoa gari la mamilioni kwa mtu kuonyesha nyeti zake hadharani.....

Naunga mkno hoja. Hata hao mamiss nasikiaga wengi wao wakishashinda kazi ni kuzurura tu mjini kuuza sura na pedeshee, na wengi wao shule ndo huwa basi tena. Mtazame dada yako Wema Sepetu..lol
 
What's goin on with Miafika aisee? kuna kazi sana wakati wenzetu wanashindanisha vijana kwenye teknolojia sisi tunatoa gari la mamilioni kwa mtu kuonyesha nyeti zake hadharani.....

Inasikitisha sana sana ndo maana wasichana wanabakia kuona mwishoni ni kulazimisha kuolewa hata wasipotakiwa! kwasababu tunawalea waone uzuri wa nje ndo asset yao, wanashindwa kukazania future kwa Elimu wao wamekalia vioo na salon na kukimbiza wanaume, wakishazeeka wanalazimisha ndoa hata ya pembeni mradi mkono uende kinywani.
Jamani kina mama badilikeni badala ya sendoff, kipaimara, ubatizo kubwa kumshow off binti yako kilaza bora umuwekee hata special tuition na kumtia moyo apate foundation na kitu cha kufanya maishani - aibu kweli Tanzania
 
mkuu hoja yako ni ipi so far? mkuu kwani weye mgeni na msemo huu hapa JF?

Sio kosa lake mkuu naona bado hajazoea mazingira ya hapa JF bado anajifunza. Mi iwa inaniuma sana kwa nini hilo gari wakalibadili kuwa pesa wampe huyo mrembo aende akasome? wengi wao wanadanganya umri alafu elimu hakuna ndo hivyo tena. Ataashia kupalamiwa na mapedeshee baadae gari hana pesa ya kujaza kiwese kizima barabarani aibu tupu.
 
YoYo mpwa tafadhari nieleweshe tatizo lako nini haswa? kama unadhani kuwa na mashindano haya ya miss east Africa ni tatizo unapaswa kujua huo si uafrika, na kama unadhani kutoa zawadi kubwa kwenye mashindano hayo ya miss east Africa ni tatizo basi jaribu kutafuta zawadi wanazopewa washindi wa miss America/ uk n.k halafu uje kujastifai hayo madai yako. Tatizo langu kubwa ni kwa jinsi unavyo husisha jinsi sisi waafrika tulivyo na mashindano haya..ukinielewesha hapo tutakwenda sawa
N.B na wewe ni kati ya wanao amini katika kujinyima ili uendelee?
 
What's goin on with Miafika aisee? kuna kazi sana wakati wenzetu wanashindanisha vijana kwenye teknolojia sisi tunatoa gari la mamilioni kwa mtu kuonyesha nyeti zake hadharani.....

Back to Miss America 2009 Swimsuit Competition Photos

miss-america-photos.jpg

- Maelezo hayafanani kabisa na kichwa cha habari, na besides mashindano ya urembo sisi tunaiga kutoka kwa hao hao wazungu sasa watatuonaje wajinga wakati tunaiga mambo yao wenyewe?, kama ni technologia basi kupewa gari kwa mrembo aliyeshinda ndio motisha kwa jamii kuachana na baiskeli na kutembea kwa miguu ili wapate kujitahidi kutafuta technologia ya kisasa kama ya gari hiyo iliyotolewa zawadi, hayo ni mashindano ya urembo sio kuonyesha nyeti kwa sababu hakuna aliyekuwepo kwenye hayo mashindano aliyeona nyeti yoyote ya hao warembo unless unao ushahidi uuweke hapa tuone hizo nyeti,

- Mkuu achana na mawazo ya kijamaa jamaa, tumesema sana hapa kwamba ubepari tunaoufuata sasa hivi Tanzania unaheshimu individualism kwanza na haya mashindano ya uzuri ndio hasa mfano wa hilo somo, please huu ni wakati wa ku-adjust kutoka mawazo ya kijamaa jamaa kwamba kuonyesha urembo wa bin-adam ni kuonyesha nyeti, ni mawazo ambayo hayana nafasi kabisa katika siasa za kibepari tunazozifuata sasa Tanzania.

- Again kichwa cha habari hakina uhusiano wowote na habari yenyewe, unless mtoa mada anazo dataz za hizo nyeti zikionyeshwa na huyo mshindi, aziweke hapa tuzione! Au unasema hapo juu hiyo picha inaonyesha nyeti za hao kina dada? Au hapa chini mbona hatuoni hizo nyeti? Muwe mnafanya utafiti kwanza wakuu kabla ya kuanzisha mada hapa! hawa chini ni wabongo na kule juu ni wazungu mbona hizo nyeti haziko nje kama ulivyodai?

Respect.

FMEs!

IMG_3830.jpg
 
Mi iwa inaniuma sana kwa nini hilo gari wakalibadili kuwa pesa wampe huyo mrembo aende akasome? wengi wao wanadanganya umri alafu elimu hakuna ndo hivyo tena. Ataashia kupalamiwa na mapedeshee baadae gari hana pesa ya kujaza kiwese kizima barabarani aibu tupu.

Mkuu,
Ogopa kushindanisha kile ambacho mtu hakuweka effort kuwanacho/kukipata.Uzuri au muonekano wa sura, siyo kitu huyo mshindi aliweka jitihada binafsi kukipata.Vivyo hivyo hiyo zawadi itakuwa ya kum- support hiyo effortless attribute yake.Akipewa pesa akasome, huenda hiyo siyo priority na hata akijilazimisha, pesa itapotea kirahisi kama ilivyokuja.
Waachieni waendeshe mashindano yao wanavyojua wenyewe kwa lengo wanalojua wenyewe!
Ningekuwa na nafsi y akutoa mawazo yangu kwenye haya mashindano, kigezo kikuu kingekuwa ni brains with beauty and not beauty with brain!
 
- Maelezo hayafanani kabisa na kichwa cha habari, na besides mashindano ya urembo sisi tunaiga kutoka kwa hao hao wazungu sasa watatuonaje wajinga wakati tunaiga mambo yao wenyewe?, kama ni technologia basi kupewa gari kwa mrembo aliyeshinda ndio motisha kwa jamii kuachana na baiskeli na kutembea kwa miguu ili wapate kujitahidi kutafuta technologia ya kisasa kama ya gari hiyo iliyotolewa zawadi, hayo ni mashindano ya urembo sio kuonyesha nyeti kwa sababu hakuna aliyekuwepo kwenye hayo mashindano aliyeona nyeti yoyote ya hao warembo unless unao ushahidi uuweke hapa tuone hizo nyeti,
IMG_3830.jpg
lol aisee wewe jamaa ni mtupu kuliko......sijui nianzie wapi kukupa darsa........hebu rudi usome mwanzo mw apost yangu kiumakini......
 
Back
Top Bottom