Mashindano ya silaha yarudi tena: Urusi yarusha satelite inayowaogopesha wamarekani

Just goes on to prove that Russia can't impose economic sanctions against US without badly hurting itself.
Mkuu vikwazo ni kuchagua kutoshirikiana na mtu unayemwekea vikwazo ktk sekta unayoitaka,walioamua kuweka vikwazo ni US,RFhakoni haja wala sababu ya kumwekea vikwazo US,ikipatikana sababu atamwekea tu.Ok mbona kama US ameamua kuweka vikwazo kaweka baadhi tu? mbona hajaweka vikwazo vya kununua Hizo engine za maroketi .?na vipuri vya boeng?
 
Swali zuri. Kwa akili ya kawaida ntaweka vikwazo vya uchumi ambavyo vitaniathiri mimi kidogo kuliko yule ninayemwekea vikwazo. Kwa kweli, hakuna absolute vikwazo kwani hata wenyewe wamarekani hawataweza kufanya hivyo kwani ulimwengu upo so wired up together kwamba ni vigumu kuinyofoa kabisa nchi kama Urusi isifaidi bidhaa au huduma zinazotoka Marekani. At the end of the day, inabidi vikwazo viwe selective tu.
 
Mkuu lee van cliff wafaransa wametuhumu kwamba Satellite hiyo ya Urusi waliyopia jina la Luch-Olimp imehama kutoka kwenye mhimili wake na kwenda kufanya udukuzi kwenye Satellite za Ufaransa na Italy.
Wanasema mara nyingine hufika jirani na kutishia kwenda kuzigonga hizo Satellite:

Sources:
1.Russia 'tried to spy on France in space'
2.Russia shrugs off US satellite anxiety
3. Why has Russian satellite crossed the orbit? To spy on our military comms, says French minister
Asante mkuu ML kwa taarifa,ila nashangaa hii satelite, nia yake ni nini,na je huu si uchokozi? je UN haiwezi kuikemea RF,au hatua gani USA,France na Italy zitachukua,Je haiwezi kuibua mgogoro mkubwa?
 
Asante mkuu ML kwa taarifa,ila nashangaa hii satelite, nia yake ni nini,na je huu si uchokozi? je UN haiwezi kuikemea RF,au hatua gani USA,France na Italy zitachukua,Je haiwezi kuibua mgogoro mkubwa?
Hawawezi kukemewa kwasababu hawajafanya kosa kisheria.
Kama ingethibitishwa kwamba hii Satellite imefungwa silaha na ina malengo ya kufanya shambulizi basi UN wangesema Urusi amevunja mkataba wa anga la nje "The Outer Space Treaty" Lakini haiko hivyo. Na bahati mbaya sana Wafaransa hawawezi kulalamika kwasababu anga halimilikiwa na nchi fulani fulani.
 
Na hapa ndipo andiko lako linapotimia kuwa,Urusi inamsumbua sana USA + NATO.
 
Hawa huwa wanangoja nini watulipue tu dunianzima maana tumechoshwa na majingambo yao
 
Kila uzi unaohusu America na Russia unapokuwa hapa Jf ndio utajua hizi nchi mbili ni kama DINI za watu au zaidi, watu wanatunishiana misuli utasema wao ni warusi au wamarekani, habari wote tunazipata ktk vyombo vya habari na mitandao lakini kuna wajuaji zaidi. Watu wanasahau tu kuwa ili uweze kumshinda adui lazima uwe bara zaidi yake kwa vitu vingi zikiwemo silaha, sasa nani atakuja jianika mbele yako kuwa anakitu hichi kina uwezo kadha wa kadha? Umiliki wa silaha na vyote vinavyohusiana na vita ni siri ya Nchi husika tena kwa watu muhimu tu ktk hiyo nchi na sii vinginevyo. Silaha sio bamia kila mtu alime avune.
Ur right Mkuu mambo ya silaha ni muhimu kuwa siri ndo maana hao Wamarekana na Warusi wanatumia inteligensia sana kufahamu uwezo/inovation mpya ya mwenzake katika mambo ya silaha ili nae atafute njia ya kujirinda na silaha za upande wa pili.
 
Nimekuelewa, lakini ukweli ni kwamba historia inatufundisha somo moja gumu kwamba kwenye mashindano ya silaha ya mataifa zaidi ya mawili makubwa na yenye nguvu ni lazima itokee vita. Lazima itokee vita tena kubwa sana, sasa kama kipindi hiki cha karne ya 21 kutakuwa na mashindano ya kutengeneza nyuklia baina ya Marekani na Urusi jua lazima mataifa mengi yatahusika tu. Palipo na mataifa mengi kunakuwepo na makosa mengi (The stakes are too high involving multiple powerful and independent nations in a nuclear arms race) Lazima tu mtatwangana.

Marekani na Urusi wakila wawili wamenusirika kupigana vita ya kinyuklia zaidi ya mara mbili kimakosa tu.
Sasa Uchina, Iran, India, Pakistan, Israel na wengine wahikusika unadhani hata kama utakuwa na silaha nyingi za kinyuklia na kujitanabaisha kwa ushindi itakusaidia mzee ??? Hapa ile Falsafa ya Nuclear Brinkmanship ya Nikita Khrushchev au Charles De Gaulle haiwezi kufanya kazi.
Dah huu unaweza kuwa utabiri?
 
Swali zuri. Kwa akili ya kawaida ntaweka vikwazo vya uchumi ambavyo vitaniathiri mimi kidogo kuliko yule ninayemwekea vikwazo. Kwa kweli, hakuna absolute vikwazo kwani hata wenyewe wamarekani hawataweza kufanya hivyo kwani ulimwengu upo so wired up together kwamba ni vigumu kuinyofoa kabisa nchi kama Urusi isifaidi bidhaa au huduma zinazotoka Marekani. At the end of the day, inabidi vikwazo viwe selective tu.
Asante chief kwa mchango huu .Sasa tunaishi katika uhalisia.
 
Mkuu lee van cliff wafaransa wametuhumu kwamba Satellite hiyo ya Urusi waliyopia jina la Luch-Olimp imehama kutoka kwenye mhimili wake na kwenda kufanya udukuzi kwenye Satellite za Ufaransa na Italy.
Wanasema mara nyingine hufika jirani na kutishia kwenda kuzigonga hizo Satellite:

Sources:
1.Russia 'tried to spy on France in space'
2.Russia shrugs off US satellite anxiety
3. Why has Russian satellite crossed the orbit? To spy on our military comms, says French minister
Malcom Lumumba jitokeze tafadhari,
Huku mambo yamekua kama ulivotabiri.

Wananzengo wanakuhitaji.
 
Mosi,
Punguza ujuaji Ze Kokuyo maana umeongea kitu ambacho huna ufahamu nacho hapa.
Kukusadia tu " Any Man Made or Artificial Vehicle placed in the limits of outer-space, regardless of the purpose it carries, it is technically referred to as a satellite" chombo chochote kile kilichoundwa na mwanadamu na kupelekwa kwenye anga la nje ya dunia na kuwepo huko kitaalamu huitwa SATELLITE. Hivyo basi hata ndege za safari za anga(Spacecrafts), zile stesheni za angani (Space Stations) na Darubini (Space Telescopes) ni kitaalamu ni Artificial Satellites.

Sasa basi hata hizo Space Based Interceptors zikiwa huko angani zinafanya kazi kitaalamu tutaziita Satellites. Hili la kusema Space Based Interceptors na Satellite ni vitu viwili tofauti wewe umelitoa wapi au umelisoma wapi mzee ????

Pili,
Ungekuwa unayafahamu haya fika kama ulivyosema hapo juu ungeshindwaje kufahamu kwamba kuna Satellites ambazo zinakuwa zimefungwa Interceptors kama sehemu yake ??? Kwenye chapicho la Umoja wa Mataifa la mwaka 1987 lililoandaliwa na wasomi nguli liitwalo "A Satellite Warfare: A Challenge for the International Community" Prof Pierre Lellouche kiongozi wa kamati hiyo (Msomi wa Harvard) alipata kusema haya hapa na namnukuu kama ifuatavyo hapa chini:

"As we shall see, the ASAT problem is extraordinarily difficult to circumscribe, because of the enormous diversity of types of possible interference against space platforms (ranging from “soft” aggression, unobtrusive and not easy to detect, designed to cause gradual damage to the electronic devices on the target satellites, throughkiller satellites” , to interceptors loaded on board planes or on other satellites)".......Prof Pierre Lellouche (Foreword- A Satellite Warfare: A Challenge for the international community)

NB:
Mkuu Ze Kokuyo hayo machapisho ya The Project Excalibur (PE) na Strategic Defense Initiative (SDI) umeyasoma kweli ??? Maana yamezunguamzia kwa undani haya mambo yote ya Weaponized Satellites na sidhani kama tungepoteza muda kubishana hapa kwa kitu ambacho kipo tangu miaka ya 60's.

CC: TUJITEGEMEE , lee van cliff
👏👏👏👏👏Kwa Malcom Lumumba.
👏👏👏👏👏Kwa 🇷🇺
 
Nani kasema kila mionzi ni LASER mzee ???
Umejibiwa kwamba mionzi yenye nguvu ya kushambulia ICBM by military concept ni ile ya LASER.

Kwasababu gani wanatumia LASER ???, wataalamu wanayasema haya yafuatayo:
1.kwasababu mionzi yake Inasafiri kwa pamoja (Similar Wave Length),
2.Inasafiri kwa haraka sana (Travels very fast),
3.Inaweza kufika mbali sana (Can reach furtherst regions),
4. Ina nguvu sana sana (They can concentrate a lot of energy in a small area)
5. Haitawanyiki hovyo kama mionzi mingine (They do not spread like Ordinary Flashlights)

Haya siyo maneno ya bwana Malcom Lumumba bali wataalamu wa NASA.
Hebu soma hapa kupata ushahidi zaidi: What is a laser? :: NASA Space Place

NB: Sasa bwana Ze Kokuyo hivi unadhani mionzi ya Infrared, X-Rays au Ultra-Violet uliyoitaja hapa tunaweza kuiweka kwenye Satellite na ikafanya kazi ya kulipua ICBM kirahisi tu mzee ???

.......................................I REST MY CASE..................................

CC: lee van cliff , BlackPanther , TUJITEGEMEE , Wick
👏👏👏👏👏Kwa mwalimu wangu Malcom Lumumba.

Malcom Lazer tayari imeshafanya yake huko Ukraine
Kuna silaha zinachomwa na kuungua kabisa na kuwa majivu na Lazer za Urusi.
 
Kila siku tunawaambiaga humu kwa mbwembwe na fedha Marekani anaongoza Lkn kwa tecknolojia ya kijeshi duniani Marekani atasubir Sana....tatizo kuu la Urussi Ni uchumi wao huwa Ni dhaifu Sana kulingana na mwenzie mmarekani, tatizo mrusi Ni msiri Sana, inawezekana saa hizi hatujui tu kumbe washapeleka mpaka binadamu huko Mars, tatizo warusi wasiri Sana....
Warusi wangeshaiteka Ukraine...tatizo hawapendi show off...huenda wameshaiteka Sema Ni wasiri sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom