Mashindano ya silaha yarudi tena: Urusi yarusha satelite inayowaogopesha wamarekani

lee Vladimir cleef

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
9,126
33,152
Wataalam wa vita silaha na satelite tuchambulieni mada hii,Urusi imrusha angani satelite yenye tabia za ajabu,inayojibadilisha kitabia na inayoweza kuangamiza ICBM,hali hii imewachanganya sana Wamarekani,wajuzi tujuzeni zaidi juu ya habari hii,naweka nukuu za habari hii kwa kiingereza.
BBC: Mystery Russian satellite Reason for Trump’s Space Force
Are aliens aiding Russia to offset America's nuclear insanity?
By
VT Senior Editors
-
August 16, 2018
1
87
Photo courtesy of Twitter and Roger Stone
Editor’s note: This may well be the biggest cover up in history and all we can do is sit back and watch like a slow motion train wreck.The Russian’s put something in space that flies all over the place and seems to change shape and size as well. Our sources indicate that this is an “after next generation” space weapon capable of disabling America’s ICBMs using non-ordinary physics based on parallel scientific development out of the mainstream since Maxwell’s equations and Cavendish began suppression….We are ending here while we can. Good luck with figuring this out, we have supplied the needed bread crumbs. From BBC and Popular Science:
1048862587.jpg

A mysterious Russian satellite displaying “very abnormal behavior” has raised alarm in the US, according to a State Department official.
“We don’t know for certain what it is and there is no way to verify it,” said assistant secretary Yleem Poblete at a conference in Switzerland on 14 August.
 
Kila siku tunawaambiaga humu kwa mbwembwe na fedha Marekani anaongoza Lkn kwa tecknolojia ya kijeshi duniani Marekani atasubir Sana....tatizo kuu la Urussi Ni uchumi wao huwa Ni dhaifu Sana kulingana na mwenzie mmarekani, tatizo mrusi Ni msiri Sana, inawezekana saa hizi hatujui tu kumbe washapeleka mpaka binadamu huko Mars, tatizo warusi wasiri Sana....
 
Si Ni mionzi tu mkuu inalistopisha kufanya kazi yake kwani ajabu....warusi Ni wahayudi wale Tena uzao wa Isihaka mkuu...
Mionzi gani hiyo Mkuu ya kutoka kwenye satellite ambayo ina uwezo wa kuistopisha ICBM?! Embu tudadavulie!!!!
 
Satellite inayoangamiza ICBM
Mzee unashangaa nini au haujawahi kusikia Concept ya Anti-Ballistic Laser Satellites ???
Mbona hii mikakati ya hizi teknolojia za kulipua ICBM iko tokea miaka ya 70's na 80's!
Mwaka 1970 Marekani alianzisha Project Excalibur chini ya Lawrence Livermore National Laboratory.
Mwaka 1983 Ronald Raegan akasema anaanzisha mfumo wa huu chini ya Strategic Defense Initiative (SDI)


Hiii ndiyo chanzo cha kusaini mikataba kama ile ya The Outer Space Treaty na The Moon Treaty.
Uwanja wa vita umekuwa mkubwa sana sanaa, kuanzia kwenye Outer Space hadi Cyber Space.
Bahati mbaya sana sisi Afrika ndiyo tunaendelea kukomaa na Land, Sea and Air kama zamani.
 
Kila uzi unaohusu America na Russia unapokuwa hapa Jf ndio utajua hizi nchi mbili ni kama DINI za watu au zaidi, watu wanatunishiana misuli utasema wao ni warusi au wamarekani, habari wote tunazipata ktk vyombo vya habari na mitandao lakini kuna wajuaji zaidi. Watu wanasahau tu kuwa ili uweze kumshinda adui lazima uwe bara zaidi yake kwa vitu vingi zikiwemo silaha, sasa nani atakuja jianika mbele yako kuwa anakitu hichi kina uwezo kadha wa kadha? Umiliki wa silaha na vyote vinavyohusiana na vita ni siri ya Nchi husika tena kwa watu muhimu tu ktk hiyo nchi na sii vinginevyo. Silaha sio bamia kila mtu alime avune.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom