Mashindano ya Miss chitchat yamerudi tena.pendekeza majina 5

Mkuu unarudi kweli?. Basi vizuri. Basi kama utanilipa kumbuka deni limeongezeka kwa sababu umechelewa kulipa, bora ukubali nikusamehe tu ili hiyo nguvu tuiweke kwa Madame B. lakini naomba uwatangazie member wa jf kama umejiondoa kwenye hili shindano ili waache kukutolea macho. Halafu nisaidie kumpigia kampeni Madame B. ukifika pale ccm nipigie simu au umtume mtoto aniite. mia

Haya basi nguvu zetu kwa Madame B. Niko chalinze sasa nikifika nitakupigia.
 
Last edited by a moderator:
figganigga jamani,
Yani mwaka huu nikishinda taji lazima nikuongeze ktk list ya 'Nyumba zangu'

hahahahaaaa....!!!. tuwaombe kura wana jf, ushindi ni wako huu. si unaona wanao tajwa wote hata kwenye thread hawatokei? hii inamaanisha wamekuachia wewe. mia
 
Last edited by a moderator:
CUTE hana mshindani

heshima yako mkuu. pole kwa ile ajali ya kwenye mataa ya uhasibu. Naona safari hii simba mnapeta tu kama Madame B. huyo CUTE wako anatakiwa awe miss mmu sababu chitchat haonekani kabisa hata akionekana kwa mwezi mara moja. yeye zake kule mmu(mapenzi, mahusiano na urafiki). Usitaje mtu kutokana na ukaribu ulio nao naye bali tunataka mtu anaye changia sana chitchat. hata ukimpm ataona unamjali. safari hii ni Madame B. mia
 
Last edited by a moderator:
Haya basi nguvu zetu kwa Madame B. Niko chalinze sasa nikifika nitakupigia.

Karibu sana mkuu. nakutakia safari njema na Mungu akutangulie. itabidi unistue jioni coz mchana bado nipo kwenye mishemishe. Asante kwa kumuachia hili taji Madame B. sasa naweza kusema madame ndo miss chitchat safari hii. mia
 
Last edited by a moderator:
emi mzima mamii,ahsante!ukimaliza kutoa ahadi zako huku karibu MMU mchango wako unahitajika kule.

snowhite mzima weye...MMU kuna uzi gani tena huko?...leo nimekaa kutoa ushauri tu...ndio maana hapa CC sijapost kabisa leo
 
heshima yako mkuu. pole kwa ile ajali ya kwenye mataa ya uhasibu. Naona safari hii simba mnapeta tu kama Madame B. huyo CUTE wako anatakiwa awe miss mmu sababu chitchat haonekani kabisa hata akionekana kwa mwezi mara moja. yeye zake kule mmu(mapenzi, mahusiano na urafiki). Usitaje mtu kutokana na ukaribu ulio nao naye bali tunataka mtu anaye changia sana chitchat. hata ukimpm ataona unamjali. safari hii ni Madame B. mia

..ok madame b...kura yako hii
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom