Mbona wangu hapewi taji sasa?
Mbona wangu hapewi taji sasa?
umerudi lini,
huyo madameb anahaha kukutafuta,
kidogo ahamie kwangu eti nionyeshe ulipo,
welcome back son.
Usisahau kuwa deni ni ahadi,na kuna wakati inaruhusiwa kuomba adivansi
haya njo pande hizi upate kile kitu kizuri.
madame hajashinda tu?
A day dream mr LAWYER!
Pande zipi........Nimechelewa??
Nitakuwa sikupikii tena wali wa nazi na samaki + kisamvu,
shauri zako.
Nipikie bibie huyu namtania tu............kwanza nimekupendekeza nawe pia.
Asante dear...hapo sawa, nimekuelewa.