The Stress Challengerr
JF-Expert Member
- Jan 18, 2020
- 2,478
- 6,764
Haya ni mashindano na sherehe ya uvuvi wa samaki ambayo ufanyika mara moja kila mwaka nchini Saudi Arabia. Mashindano hayo yanaitwa HAREED.
Mashindano hayo ni tamaduni na jadi na yamefanyika karne na karne.
Mashindano hayo ufanyika katikati ya April kila mwaka katika kisiwa cha Farisan kusini Magharibi mwa Saudi Arabia katika jimbo la Jazan.
Wakati huo wa mwaka samaki aina ya (Parrotfish) wanasogea karibu na fukwe za Farisan AL Hasis na Wenyeji wanawasubiri na kuwavua na hapo mashindano na (sherehe) festival za uvuvi ufanyika.
Kabla ya Covid 19 mashindano hayo yalisindikizwa na nyimbo za kitamaduni na tamaduni zingine.
Pia zawadi upewa kwa yule aliye ua samaki wengi.