olele
JF-Expert Member
- Dec 2, 2010
- 1,305
- 1,569
kulikua mashindano ya kumtafuta mtu anayefanana na gwiji wa vichekesho wa wakati huo Charlie Chaplin na yalikua yanafanyika sehemu tofauti tofauti karibia kila mwaka, masharti ilikua kuvaa, kuongea, ku-act au kufanya chochote kile ili ufanane na charlie Chaplin, siku moja na yeye akajaribu kushiriki bila waandaaji kujua kama ni yeye,
unajua alikua wa ngapi??
Hakuingia hata top 3
unajua alikua wa ngapi??
Hakuingia hata top 3