Mashetan wanaovaa sura ya mwanaume/mwanamke na kuvalishaana pete utayatambuaje | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mashetan wanaovaa sura ya mwanaume/mwanamke na kuvalishaana pete utayatambuaje

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pdidy, Aug 8, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Aug 8, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,495
  Likes Received: 5,725
  Trophy Points: 280
  Ndoa nyingi sana hivi sasa zinafungishwa na maajenti wa shetan...kuna wengi wamekuwa wakitayaruki jinsi gan
  mwenza anavyobadilika kwenye ndoa siku hadi siku kuna waliofikia kuitana majina ya kupeana moyo
  ma everything,my sweethny,,myy pinapple my apple nowdays nyumba nyingi zikishaoana wanaanza kuitana
  matusi badala ya kuendelea kupendana wakati ukikumbana na mwanaume ama mwanamke wa aina hiyo amka jini limeingia ndan yako wewe usiku ukilala mwenzio anafanya tendo la nddoa na majini yake wanamfurahisha mwishowe
  unakuta hata ukitaka tendo la ndoa aka tunda la roho unanyimwa sio yeye

  sasa basi wengi waspokuwa na ufahamu unaishia kukimbia na kkuacha nyumba ina kiola kitu yale majin yanafurahia
  yanaannza kutafuta wengine fasta na ndio maana ndoa nyingi wanaweza hisi ni uzinzi no kuna majii ni ya kiroho yanawaongoza usiku na wengine wamepewa ukuu na vyeo huko gizani

  jini hawa wanaweza tengeneza sura ya mtu unafikiria mtu huyu kwa nini amebadilka anakufanyia mambo mabaaya ili ushangae na wengine ama kama si wengi huwa wanaanza kwa kuchumbiana vizuri kuvishana pete vizuri gafla anaanza kukujibu ovyo hapo amjaaoana unaendealeaje kama ajana ..mbona unajibu hivyo umejuaje duh kama huna ufahamu unaweza kula kona jioni hata kama ujafungua ndugu yangu
   
 2. BlackBerry

  BlackBerry JF-Expert Member

  #2
  Aug 8, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 1,844
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Ni kumtegemea Mungu tu bila yeye hatuwezi
   
 3. L

  Laura Mkaju Senior Member

  #3
  Aug 9, 2011
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 194
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hivi Pdidy mbona thread yangu hujajibu mpaka leo?? kulikoni tena Mtumishi??
   
 4. Viper

  Viper JF-Expert Member

  #4
  Aug 9, 2011
  Joined: Dec 21, 2007
  Messages: 3,665
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  mkumbushe swali... atakuwa amepitiwa...
   
 5. Ruge Opinion

  Ruge Opinion JF-Expert Member

  #5
  Aug 10, 2011
  Joined: Mar 22, 2006
  Messages: 1,696
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  Acheni ushirikina. Hakuna cha shetani wala majini. Mnoana siyo sababu ya mapenzi bali kwa sababu jamaa ana gari, yuko Ulaya, amesoma, amejenga nyumba nzuri, ana biashara, anajua mchezo wa kitandani, n.k. Baadaye mnachokana kwa sababu toka mwanzo hamkupendana. Majini ni ninyi wenyewe.
   
 6. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #6
  Aug 10, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Sijaelewa hata kidogo!!! au ndo majini yenyewe mmmmh!!!!!!
   
 7. chavka

  chavka JF-Expert Member

  #7
  Aug 10, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 202
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Hali hiyo ipo wala sikubishii weng wameathirika na hayo mashetan
   
Loading...