Mashemeji zangu mambo vipi? Ebu pitieni hapa kidogo Ili twende sawa

Soon utasikia "wanawake Mmezidi kuangalia movie". Ingekuwa uzi wa kuwafunda wanawake wangejazana haoo na comments zao "mtoa mada i wish nikuoe, mumeo ana raha sana: blah blah blah. Hili kama hawalioni vile
Heaven sent Wewe.samahani.hivi yule Warumi maarufu Kule jukwaa la Celebrity aliendaga wapi??nakukumbuka sana Kule miaka hiyo tukiwa wadada.
 
Heaven sent Wewe.samahani.hivi yule Warumi maarufu Kule jukwaa la Celebrity aliendaga wapi??nakukumbuka sana Kule miaka hiyo tukiwa wadada.
Haha sijui ameenda wapi mwenyekiti wa wambea Afrika Mashariki na kati, nimemmiss kweli binamu
 
Haha sijui ameenda wapi mwenyekiti wa wambea Afrika Mashariki na kati, nimemmiss kweli binamu
Inabidi tumsake au alibadili user name.But hata angebadilisha kwa uandishi wake Lazima.Tungemjua japo jukwaa lile nimehama.OK.Sasa.naomba Na nyie.muongezee kwenye Uzi huu.mnachopenda kutendewa kwenye mahusiano/ ndani.Lengo kuwaelimisha.Na wengine.Kumbuka mtandao wa JF una wasomaji wengi wengi sana.Hivyo basi ushauri wa busara utasaidia wengi.
 
Back
Top Bottom