Masheikhe kulikoni Kidongo chekundu?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Masheikhe kulikoni Kidongo chekundu??

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Dungulee, Oct 31, 2008.

 1. D

  Dungulee Member

  #1
  Oct 31, 2008
  Joined: Oct 23, 2008
  Messages: 17
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wakuu nimepita sasahivi saa tisakamili mchana maeneo ya kidongochekundu nimekuta mashekhe kibao na wafuasi wao.Tetes kwa harakaharaka wanadai kuungana leo mpaka kieleweke muafaka wa OIC.Maaskofu nasikia mnataka kujibiwa na masheikhe.Je imekaaje hii jamani kunanini TZ?
   
 2. Ibrah

  Ibrah JF-Expert Member

  #2
  Oct 31, 2008
  Joined: Mar 22, 2007
  Messages: 2,721
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Hao jamaa wakikutana expect tishio la uvunjifu wa amani; jazba zitatawala hapo na mtu anaweza akachapwa.
   
Loading...