Masheikh wetu mnatupeleka wapi?

mkalamo

Senior Member
Joined
Sep 7, 2013
Messages
110
Points
225

mkalamo

Senior Member
Joined Sep 7, 2013
110 225
Katika kipindi hiki cha uongozi wa awamu ya tano, mimbari mbalimbali za misikiti imegeuzwa kuwa majukwaa ya wanasiasa kuhutubia, badala ya mimbari hizo kutumiwa na Masheikh kwa ajili ya nasaha kwa waumini.

Mtindo huu umezuka kwa kasi zaidi awamu hii tofauti na awamu nyingine,hali inayowafanya viongozi hao wa dini kukosa uhalali wa kuwakemea wanasiasa pale wanapokengeuka

Nasaha zangu kwao na hasa Sheikh Mkuu,tuachie mimbari zetu ziwe ni jukwaa za masuala yanayojenga umoja baina ya waisl,badala ya kutumika na wanasiasa na kuingiza uharamu wao kwa mgongo wa waumini.

Wao wakija katika mimbari zetu kizungumza siasa ninyi masheikh mnafurahia,lakini ninyi ninyi mkipanda kwenye majukwaa yao kizungumzia dini mnaambiwa mnaingiza udini katika siasa, epukeni hili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Messages
68,258
Points
2,000

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined Nov 6, 2012
68,258 2,000
Katika kipindi hiki cha uongozi wa awamu ya tano, mimbari mbalimbali za misikiti imegeuzwa kuwa majukwaa ya wanasiasa kuhutubia, badala ya mimbari hizo kutumiwa na Masheikh kwa ajili ya nasaha kwa waumini.

Mtindo huu umezuka kwa kasi zaidi awamu hii tofauti na awamu nyingine,hali inayowafanya viongozi hao wa dini kukosa uhalali wa kuwakemea wanasiasa pale wanapokengeuka

Nasaha zangu kwao na hasa Sheikh Mkuu,tuachie mimbari zetu ziwe ni jukwaa za masuala yanayojenga umoja baina ya waisl,badala ya kutumika na wanasiasa na kuingiza uharamu wao kwa mgongo wa waumini.

Wao wakija katika mimbari zetu kizungumza siasa ninyi masheikh mnafurahia,lakini ninyi ninyi mkipanda kwenye majukwaa yao kizungumzia dini mnaambiwa mnaingiza udini katika siasa, epukeni hili

Sent using Jamii Forums mobile app
Unawaambia Masheikh hawa wanaohongwa hela barabarani ?
 
Forum statistics

Threads 1,390,592
Members 528,211
Posts 34,055,532
Top