Masheikh wasaliti makubaliano kikao na madaktari

Mwanaharakatihuru

JF-Expert Member
Mar 21, 2012
477
120
Ukistaajabu ya musa utayAona ya firauni. Hivi majuzi viongozi hawa walikuwa na kikao na madaktari na kupiga dua nyingi na kutokwa na povu kuwa rais amedanganywa leo hii baada ya kuchomolewa ombi lao na mkuu wa kaya wamewarudia madaktari nakutaka kuwashtaki.
Jamani madaktari kama watoto wa kambo. Masheikh acheni usaliti. Acheni kutumika.
 
Tupatie na source kabisa usije ukawa umekurupuka huko, tukaanza kuwajazia lawama bure!
 
Kweli wamesema eti watawashkaji madocs kwa mauaji.mandumilakuwili walifikiri wakienda magogoni watapewa ubwabwa
 
Tatizo Madaktari hawakuwapa Ubwabwa, sasa wanategemea jamaa watawasapoti kivipi! Ukiona hivyo ujue JK ameshapenyeza rupia penye uzia.
 
Ukistaajabu ya musa utayAona ya firauni. Hivi majuzi viongozi hawa walikuwa na kikao na madaktari na kupiga dua nyingi na kutokwa na povu kuwa rais amedanganywa leo hii baada ya kuchomolewa ombi lao na mkuu wa kaya wamewarudia madaktari nakutaka kuwashtaki.
Jamani madaktari kama watoto wa kambo. Masheikh acheni usaliti. Acheni kutumika.

.
Mnakosea sana mnaposema masheikh. Hawa sio, ni kikundi cha michongo mijini kinachoongozwa na Said Mwaipopo. Sijui madoctor's walitokana wapi na hili genge.
Yaani hapa ni kundi la majuha lililodandi mgongo wa ma-Dr's kupanda chati.
.
 
Tupatie na source kabisa usije ukawa umekurupuka huko, tukaanza kuwajazia lawama bure!

Acha kukariri mkuu.

¤hujui kwamba waliomba dua ili warudi kazini

¤Hujapata taarifa wanaenda kuwashitaki

HAYA BHANA
SAM_3719.JPG
 
Tulishasema wale wa siku ile sio wasemaji wa Dini zetu ni Kikundi cha madaktari kiliwabeba ili ionekane tu kuwa Mkuu wa Nchi kagoma kuwasikiliza maDr. Leo ukweli umejidhihiri kiko wapi? mm nashauri MaDr tafuteni kazi nyingine km mligoma kurudi kazini, maisha ni popote sio lazima mkae Muhimbili, KCMC, Bugando na Hospitali za rufaa, kwa sasa mmchemsha Filamu imeisha na hakuna Mada yoyote tutawasikiliza
 
Money talks aisee... yani masheikh ubwabwa hapo ukute wamepewa hela ya visheti na tende tu
 
Back
Top Bottom