Masheikh wamuonya Kubenea na MwanaHalisi

Status
Not open for further replies.

janja pwani

Senior Member
Jul 27, 2011
104
9
wakiongea na kuwasiliana na masheikh wa mkoa wa tabora katika kipindi maalumu cha Radio IMANI wamesema kitendo alichofanya said kubenea kwa kuandika habari isiyokuwa na uhakika huku ni kuudhalilisha uislamu, katika habari "DC Fatuma kimario si muislamu" wamesema kwanza mwenyewe aliishasema "kwa mujibu wa dini yangu ya UISLAMU kitendo cha kunivua hijabu ni kama wameniwacha uchi" naye sheikh wa Mkoa anasema bi fatuma ni muislamu safi na huwa tunasali naye hapa msikitini na hata Ijitimayi iliyofanyika Nairobi mwaka jana tulikwenda naye, na shughuli zote za hapa msikitini huwa anashiriki hata usafi wa msikiti huwa anashiriki na wakina mama wenzie, siku ya ijumaa huwa anafika mapema hapa msikitini, kwa hiyo nashangaa mtu anaposema mama huyo ni Mkristo, alisema sheikh huyo wa mkoa wa Tabora.
 
Kwa nini huyo kiroboto asije mwenyewe kukanusha au kukubali juu ya iman yake. Kwani amekuwa popo yeye.! Na hao masheikh kwa nini wausemee moyo wa Fatuma Kimario.?
 
Hivi hao mashehe hawana kazi za kufanya? Kila kukicha 'ONYO' huyo DC mwenyewe wala hajui yeye ni dini gani... Yupo yupo tu! Waache kuchafua uislam kwa maslah ya watu wachache.
 
wale waandishi na vipindi vya dakika mara 45, mara tuonge asubuhi mbona hawaendi kumhoji huyu mama, mtasingizia rikesi riko mahakamani, shauri yenu, wapagani mnawatukana mpaka matusi hadharani wao kimya, nyinyi na dini zenu mkifanya ufuska hamuwi waumini, mkitiwa adabu kwa makosa kwenye jamii mwaangaliwa kwa dini, huwa mnasali kweli? wanafiki sana watu wa dini, mbona maovu hayaishi au angalau kupungua. waachieni wapagani hii dunia nyie na dini zenu si muende mbinguni! munaudhi sasa. mulichikomaza se!
 
Masheikh wakinafiki hawa wapo kimaslahi zaidi,waislam tunashida nying za maana kuliko huyo mfunga nguruwe mkuu wa wilaya mbona mmeshindwa kutusaidia kama kweli mnalinda maslahi ya waislam? Wanafiki wakubwa mnatumiwa na ccm kwa njaa zenu,sijaona sheikh hapo naona genge la wahuni wenye njaa wasio na elimu waa mtazamo! Mnadhani tukianza kupigana family zenu zitasalimika?
 
Wewe nadhani 'shekhe' wako ni Pengo, Slaa au Malasusa! Ungekuwa hata na harufu ya imani usinge thubutu kuwatukani viongozi wako eti kwa ajili ya huu upuuzu wa Chadema! Mwenzio Kubenea analipwa kuutukana uislam
 
Mashehe mlitumwa na Ccm sasa mmekuta mziki mzito sasa mnakuja na Matamko yenu yasiyo na tija hapa eleweni kuwa hii nchi siyo Mali ya Kanisa wala Msikiti pia mwambieni Kikwete naona anawasikiliza nyie Mashehe mwambieni hivi sisi watanzania tumechoshwa sana tena sana.AONDOKE.Kubenea mwacheni kwani yeye ana uchungu na nchi yake nyie mnawaza tumbo zenu tuu mnaogopa kusema ukweli.
 
Kwa nini huyo kiroboto asije mwenyewe kukanusha au kukubali juu ya iman yake. Kwani amekuwa popo yeye.! Na hao masheikh kwa nini wausemee moyo wa Fatuma Kimario.?

After all what is Kimario mpaka asumbue watu. Just a lady like any mother. Masheik hawana la kufanya la maana mpaka waende kwenye upuuzi huo. Illiteracy ya masheick, elimu ndogo inawasumbua. Sidhani kama maaskofu ( siwasemei) wanaweza kuhangaika na sister aliyevuliwa shela in whatever way particularly pale anapokutwa anafanya mambo ambayo yanatia mashaka. Masheick nendeni shule, jadili maendeleo ya waislamu, jenga shule, zifanye zilizopo zifanye vizuri etc. Acha kushupalia ujinga
 
wakiongea na kuwasiliana na masheikh wa mkoa wa tabora katika kipindi maalumu cha radio imani wamesema kitendo alichofanya said kubenea kwa kuandika habari isiyokuwa na uhakika huku ni kuudhalilisha uislamu, katika habari "dc fatuma kimario si muislamu" wamesema kwanza mwenyewe aliishasema "kwa mujibu wa dini yangu ya uislamu kitendo cha kunivua hijabu ni kama wameniwacha uchi" naye sheikh wa mkoa anasema bi fatuma ni muislamu safi na huwa tunasali naye hapa msikitini na hata ijitimayi iliyofanyika nairobi mwaka jana tulikwenda naye, na shughuli zote za hapa msikitini huwa anashiriki hata usafi wa msikiti huwa anashiriki na wakina mama wenzie, siku ya ijumaa huwa anafika mapema hapa msikitini, kwa hiyo nashangaa mtu anaposema mama huyo ni mkristo, alisema sheikh huyo wa mkoa wa tabora.
msituleteeee udini kwa reporter wetu loh
 
Tatizo wanapgania dini alyeianzisha akufanikiwa kuweka mising mizuri kama YESU kristo alivyofanya kwa waja wake wakikristo.wala utakiwi kuwa na elimu kubwa kuelewa familia yenye malezi mema na maovu.wazazi wasipowekea watoto wao misingi mizuri ya maisha mara nying watoto wanachanganyikiwa na wanakuwa awana misimamo katka maisha.wakirsto tumshukuru yesu katuachia amani na upendo
 
Walio Tabora na wanaomjua huyu mama vizuri watujuze,hakuna hata mtu mmoja anayefanyakazi hapo wilayan,au anayeijua familia ya huyu mama vema?
 
After all what is Kimario mpaka asumbue watu. Just a lady like any mother. Masheik hawana la kufanya la maana mpaka waende kwenye upuuzi huo. Illiteracy ya masheick, elimu ndogo inawasumbua. Sidhani kama maaskofu ( siwasemei) wanaweza kuhangaika na sister aliyevuliwa shela in whatever way particularly pale anapokutwa anafanya mambo ambayo yanatia mashaka. Masheick nendeni shule, jadili maendeleo ya waislamu, jenga shule, zifanye zilizopo zifanye vizuri etc. Acha kushupalia ujinga

Mkuu, I agree with you, except for the red highlited text. Huyu mama hawezi kuwa kama mama yangu hata kidogo. Mama yangu hajashiriki kwenye hizi mbinu chafu za kukandamiza demokrasia ya kweli.
 
Kwa style hii ya waislamu kutaka kufanya watakavyo kwa kisingizio cha dini haitawezekana.......dc lazima afuate sheria za nchio na sheria za uchaguzi ambazo yeye kwa makusudi na kwa kukusudia amezikiuka. Ni ajabu pale waislamu wanaendelea kuwahamasisha wahalifu (wa mali-kweney mabenki na wale wa sheria -km Fatuma) kutumia mavazi yanayoitwa ya kiislamu kuhalalisha uhalifu wao........kwa taarifa yenu kama huo ndiyo uislamu basi AKIKAMATWA USTADH NA MTU MIDEVU YAKE ANAIBA NA WANANCHI WAKIMKAMATA NA KUMNYOA WAISLAMU WATASEMA NDEVU NI VAZI LA KIISLAMU...
MASHEIKH ACHENI KUENEZXA UDINI KWA MASLAHI YA MATUMBO YENU -HASA POSHO MNAZOPATA KUTOKA CCM KILA BAADA YA KUTOA MATAMKO TAFADHARI
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom