Sheria sometimes sio fair sasa remedy za hao victims inakuwaje? Au ndio ile remi ongala aloimba kuwa ni kilio cha samaki au walatino wanayosema ni Damnum absque injuria?
Warumi sio walatini, kilatino ndio ilikuwa lugha ya warumi.
 
Wametoka kwa makubaliano ya Hayati Seif na Mwinyi kama moja ya masharti ya kuunda serikali waliyonayo huko zenji sio kwa shinikizo lenu mkuu
Usiwe na wasiwasi nchi zetu mbili ziko mikono salama,
 
Ole wa wakristo mkaao Zanzibar maana wamwaga tindikali wamerudi,je wataendelea kuua mapadri na kuwamwagia tindikali wakristo,yangu macho.

Ndio mkiitwa makafiri mnakasirika. Kwa maneno yako hayo wewe ni kafiri , fitina la nguvu kuliko Juda iscarioti. Yalioko kifuani mwako ni makubwa kuliko hata uliyoyaandika hapa . NI CHUKI DHIDI YA UISLAMU NA WAISLAMU KWENDA MBELE
 
Huyu DPP wa sasa amewezaje?

These guys the so called UAMSHO hao DPP wengine walikwama wapi kumaliza Kesi zao?

Nakumbuka Prof Kabudi alishawahi kuliambia Bunge kuwa jamaa Wana "Kesi NZITO SANA" enzi za Mwendazake hizo

Huyu aitwaye propesa Kabudi,
Ile dawa yake ya corona aliyoichukuwa Madagascar kwa amri ya mamsapu wake mwendazake iliishia wapi ?? Mbona haikumsaidia mamsapu wake Mwendazake ??
 
Ktk nchi zenye kuheshimu haki za raia wake Jaji tu wa mahakama kuu anatosha kabisa kuagiza watuhumiwa kama hao wa uamsho wafikishwe mahakamani mara moja au waachiliwe lakini kwa Tanzania hawa majaji ni watu wa kuamurushwa nini cha kufanya wako sawa tu na wakuu wa mikoa na wilaya.

Lakini kwa nchi ambazo haki za raia ni kete inayotumiwa na watawala kutafuta ufadhilii kwa mataifa mengine ni rais tu ndiye mwenye kuamua nani aswekwe ndani na kwa muda gani.

Leo hii hawa hawa wanao shangilia kuachiliwa huru kwa hawa mashehe ndio siku zote wako busy kulaani matukio yanayofanyika kwingineko duniani huku wakiwasahau kabisa hawa mashehe.

Ila kama ni kweli kwamba hawa mashehe walikuwa wakijihusisha na vitendo vya kigaidi ni fursa nzuri ya kuachana na vitendo hivyo kwani huko nyuma tumewahi kushuhudia watuhumiwa wa ugaidi walioachiliwa kutoka kwenye gereza la Guantanamo Bay wakirejea tena kufanya vitendo hivyo na baadaye kuuliwa tena hivyo wajifunze kutokana na huo uzoefu
 
Daaah! Hili umeshafeli mkuu, uislam africa ndio dini inayoongoza kuwa na wafuasi wengi kuli dini yoyote, pambania ishu nyingine mkuu, sasahivi waislam ndio wanaongoza nchi za zanzibar na tanzania zuri zaidi washauri wastaafu wamebaki waislam tu wakristo Muumba kawatwaa
Umepotea🤣 Ukristo Ndio inaongoza Afrika🙏👌
 
Ndio mkiitwa makafiri mnakasirika. Kwa maneno yako hayo wewe ni kafiri , fitina la nguvu kuliko Juda iscarioti. Yalioko kifuani mwako ni makubwa kuliko hata uliyoyaandika hapa . NI CHUKI DHIDI YA UISLAMU NA WAISLAMU KWENDA MBELE
Makafiri ni wale wanaoua,kuchoma makanisa na kumwagia wenzao tindikali ili wakapate mabikra 72 wenye macho kama vikombe,dini nyingine ni za ibilisi kabisa.
 
Back
Top Bottom