Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 46,903
- 32,312
Kwa anayetaka kumuelewa MM. Aaangalie hiyo Video Clip.
Ukichangia bila kuitizama hiyo Video Clip utakua unatoka Nje ya mada.
Naionea huruma Zanzibar.
Sababu anazotoa huyu Bwana kutetea kuukata muungano Hazina mshiko jamani.
Mkuu wangu hivi Padre akisimama na kuanza kutetea ushoga na ndoa za jinsia mmoja utamuunga mkono?