Mashehe wa Bara Ongozeni harakati za kuupinga Muungano; Tanganyika isiidhulumu Zanzibar

Status
Not open for further replies.



Nawasihi mashehe wa bara wafuate mfano wa wale wa Zanzibar; watuongoze kupinga Muungano ili Zanzibar iwe huru. Haiwezekani watu wa Tanganyika (wakiwemo mamilioni ya Waislamu) wawe wanawadhulumu Waislamu wa Zanzibar kwa kuendeleza Muungano. Tafadhalini mashehe kwa hili hata miye nitawaunga mkono!! Muungano umalizwe kusiwepo na dhulma, ukandamizaji na uonevu unaofanywa na Watanganyika (Waislamu kwa Wakristu) dhidi ya Wazanzibari!


Mkuu usiwe unakurupuka tu ni ukandamizaji gani unaofanywa na watanganyika? Ungeweka walao mifano na siyo kufanya uchochezi usio ujua
 
Last edited by a moderator:
Acha Unafiki Mtu Mzima MM. Kwenye issue zote wewe uko na CHADEMA na KANISA! leo kwanini uiwatake Waislamu? Hiyo 'kazi' yakudai Tanganyika tayari inafanywa na kanisa kupitia CHADEMA! Issue Closed!
 
For sure hakuna nilikuwa namheshimu sana MMK na post zake lakini kwa hili heshima yako itaporomoka kama CCM
USHAURI WA BURE DELETE HII THREAD YAKO ULINDE HESHIMA YA POST ZILIZOTANGULIA NA ZIJAZO
 
Kama tunautaka huu muungano basi uwe wa serikali moja kandamizi itakayoongoza kwa mkono wa chuma,vinginevyo kwa hali tuliyofikia ni udanganyifu mtupu ndo unaoendesha hii aina ya muungano tuliyonayo huku kukiwa na udhaifu wa kimaamuzi pande zote, kilichobaki ni kujadili namna ya kuuvunja kwa amani ili tubaki tukiwa tunasalimiana badala ya kununiana.
 
mbona liko wazi - muungano umefika wakati uvunjwe. Kwa vile harakati za kupinga Muungano Zanzibar zinaongozwa na mashehe ninaamini watu sahihi bara kuweza kuongoza harakati za kuvunja Muungano ni mashehe vile vile.

Kwani huu muungano ni wa mashehe ama niwa WaTz wote? Alafu uisilamu na muungano kuna uhusiano gani? Maana mashehe ni viongozi wa dini na siyo viongozi wa muungano so ni vyema wakasimamia dini zao na siyo visivyowahusu
 
For sure hakuna nilikuwa namheshimu sana MMK na post zake lakini kwa hili heshima yako itaporomoka kama CCM
USHAURI WA BURE DELETE HII THREAD YAKO ULINDE HESHIMA YA POST ZILIZOTANGULIA NA ZIJAZO

Hivi kweli unaamini naishi na kufikiria nani ananiheshimu na nani aniheshimu? Ishi kwa kufuata dhamira yako usitafute heshima maana wenye kutaka kuheshiiwa wapo watayari.
 
Mwanakijiji sio mdini, sasa kama kule Zanzibar masheikh ndio wanaongoza katika hizo harakati iweje hawaambie maaskofu! Halafu kitu kingine acha uongo kama kitu hujui ni bora ukae kimya kuliko kueneza uongo ni lini msikiti umechomwa Mwanza! Kama unaongelea fujo zile za lumala huko Mwanza ni vizuri ukauliza chanzo ni nini kuliko kukurupuka! Na kuanza na kudanganya watu!

Kwanini asiwaambie maaskofu wachungaji na mapadri wa zenji waungane na wenzao? Kwani hao mashehe wa tanganyika ni tawi la mashekhe wa zenji?
 
hivi Zanzibar kuna mashamba ya Viazi?

Hivi Zanzibar wanazalisha umeme kiasi gani?

Tanganyika ina import nini kutoka Zanzibar?

Mtoto akililia wembe mpeni jamani.

Kwani jamaa yenu pale magogoni ametoa tamko gani maana hata issue nyeti kama hizi hazifai kufumbia macho hata kidogo!
 
Kwani huu muungano ni wa mashehe ama niwa WaTz wote? Alafu uisilamu na muungano kuna uhusiano gani? Maana mashehe ni viongozi wa dini na siyo viongozi wa muungano so ni vyema wakasimamia dini zao na siyo visivyowahusu

Sikiliza au angalia hiyo youtube basi kidogo... itakupa mwanga nimezungumza nini...
 
MM,

Masheikh wa Tanganyika wapambane na mfumo kristo unaongozwa na kanisa katoliki kuendelea kuwakandamiza waislamu na fitna zinazozunguka. Masheikh za zanzibar wanatosha kuwatoa jasho nyie wafuasi wa kanisa katika suala la muungano hawahitaji masheikh wa kutoka Bara.

Ni mfumo kristo gani huo ambao wakatoliki wanauendeleza?
 
Kwanini asiwaambie maaskofu wachungaji na mapadri wa zenji waungane na wenzao? Kwani hao mashehe wa tanganyika ni tawi la mashekhe wa zenji?
kuna uhusiano wa karibu wa kihistoria kati ya mashehe wa Zanzibar na wa bara.
 
Mi naona MKJJ yuko sahihi. KUNA AGENDA gani kati ya Masheikh na Muungano? Na yale mabango kwenye mikutano ya wanauamsho yanayoandikwa kwa kiarabu yanatoa tafsir gani? Kama Muungano ni agenda ya Uislamu , au labda niseme agenda ya KIARABU, basi masheikh wote wa bara waongeze nguvu ili mambo yaende haraka!
 
I support you Mwanakijiji, kwa kuwa wale JUMIKI ni taasisi ya Uislam, tena tumeambiwa waislam safi wanaotaka haki na uhuru, kwa nini wasipate support kutoka upande wa pili?.

Sitegemei BAKWATA na akina sheikh PONDA &CO walaani hii move. They have to support materially&financially mpaka hili dubwana linaloitwa Muungano lisilowaletea faida wenzao wa upande wa pili livunjike. Jamani, mashehe msilale mpaka kieleweke.
 
are you satirical or are u serious? kwa nini mashehe tu wazungumzie muungano, wakati muungano sio suala la kidini/udini bali la kisiasa? au ndo unawakumbusha mashehe kuwa muungano si wa kuzungumzwa kidni bali kisiasa?

Kweli mkuu ktk kuupinga ungetakiwa dini ikae pembeni na kusimama wao kama wazanzibar na siyo kusimama kama waislamu kwani wanaizalilisha dini ya kiislamu pamoja na kuwajengea bifu na wakristo wa Tz wasiotaka shari maana kama ingekuwa misikiti ndo imechomwa moto kama hivyo zanziba yote ingewaka moto ila kwa busara za wakristo ndizo zimeinusuru zanziba
 
Duh! kumbe ni AJIRA,
From facebook MM anasema

"La kwanza: Viongozi wote wa Zanzibar wanaofanya kazi kwenye ofisi za Muungano si itabidi waachie nafasi zao zote kupisha Watanganyika kushika nafasi hizo na kama wapo Watanganyika wanaoshika nafasi kwenye serikali ya Zanzibar nao itawapasa waziachilie mara moja. SIKU MOJA BAADA YA MUUNGANO? "
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom