"mashauri magumu ndiyo yanafika kwangu" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

"mashauri magumu ndiyo yanafika kwangu"

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kwame Nkrumah, Mar 25, 2009.

 1. K

  Kwame Nkrumah JF-Expert Member

  #1
  Mar 25, 2009
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 887
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Wadau nafikiri baadhi yenu leo mmesikiliza press conference ya Obama,kuna issue moja najaribu kulinganisha na rais wetu. Alipoulizwa swali kuhusu Stem Cell Research alijibu kwamba," angalia, hili si jambo jepesi, ni MAAMUZI MAGUMU TU ndiyo yanaingia ofisini kwangu, na inabidi nitafute ufumbuzi wake" - [ tafsiri isiyo rasmi]-
  Hebu sasa tuaangalie maamuzi ya Mkulu
  - Aamuru watu waruhusiwe kupunga upepo beach.
  - Aamuru polisi wakamate wauaji wa albino [ IGP yupo, Mkuu wa mkoa yupo, mkuu wa wilaya yupo n.k ]
  - Aamuru makarani wa TISCAN wasipokee rushwa.
  - Asikitishwa na wizi wa mafuta ya transfoma.

  Mahoteli ya mabilioni ya shilingi yameungua Bagamoyo, tutasikia ameamuru Gari la zimamoto linunuliwe haraka sana huko Bagomoyo !!
  Hivi ni viongozi wanamdharau mkuu wa nchi au ni yeye amekosa kazi ya kufanya ? Ni kweli haya ni maamuzi ambayo yameshindikana ngazi za chini? Semina za Ngurdoto zilisaidia nini?
   
 2. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #2
  Mar 25, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  heri mimi sijasema
  ila inatia kifuchefuche kwa staili hii ya kutoa toa amri kila kukicha.
  Nchi inaendeshwa kwa shinikizo naw
   
 3. Nkamangi

  Nkamangi JF-Expert Member

  #3
  Mar 25, 2009
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 642
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  The Tanzanian presidency needs a job description to be used together with the hole Bible / Quran to swear in presidents. The document will make the evaluation of the office holders perfomance easy and persecution if he/she does not fulfill their end of the bargain even easier.
   
 4. Shapu

  Shapu JF-Expert Member

  #4
  Mar 25, 2009
  Joined: Jan 17, 2008
  Messages: 1,918
  Likes Received: 240
  Trophy Points: 160
  Wewe jamaa you must be genious kuona na kuleta mchanganyuo huu. Kwa kweli kabisa hiki ndicho kitu ambacho mimi nimeshindwa kukielewa hapa nchini. Watendaji wa JK wanafanya nini?? na kama hawafanyi nini kwanini waendelee kuwapo. Stupid stupid stupid, sitaki kabisa kuona raisa anaongoza nchi kama duka la sukari na nyanya.
   
 5. kinepi_nepi

  kinepi_nepi JF-Expert Member

  #5
  Mar 25, 2009
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 870
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  hatuhitaji hata waziri kwani jk ni mambo yote.na yote yamemshinda. Yuko bize na totozi.na wasaidizi wake wako bize kutuibia mmmmmh yangu macho
   
 6. K

  Kwame Nkrumah JF-Expert Member

  #6
  Mar 25, 2009
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 887
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Issue ya job perfomance and accountability iliwahi kujadiliwa sijui iliishia wapi, kama kawaida yetu imeishazimwa. Inaonekana mpaka Rais aseme tena. Hakuna kupima utendaji wa kazi kabisa, Ni viongozi wachache sana ambao tunaweza kuona manufaa ya unongozi wao.
   
 7. K

  Kwame Nkrumah JF-Expert Member

  #7
  Mar 25, 2009
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 887
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Yes indeed, stupidity on a grand scale and stage.
   
 8. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #8
  Mar 25, 2009
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Hata TAKUKURU inasubiria kibali/amri ya rais kuchukua hatua dhidi ya waheshimiwa waliovunja sheria.
   
Loading...