mashati ya J. Kikwete(designer)/nayatafuta | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mashati ya J. Kikwete(designer)/nayatafuta

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Katabazi, Jun 22, 2010.

 1. K

  Katabazi JF-Expert Member

  #1
  Jun 22, 2010
  Joined: Feb 18, 2007
  Messages: 355
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Wana JF,
  Naomba msaada wa mtu anayeweza kuniambia mtu anayemshonea mashati Kikwete-sijui niyaite ya kitanzania au ya kia Africa? Kuna mtu anayataka na ameyazimia nimeshindwa kujua pa kuyapata mwenye uwezo wa kumjua mtengenezaji au mtu mwingine mwenye hivyo vitambaa na quality ile au inayokaribia anijuze.
   
 2. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #2
  Jun 22, 2010
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Kuna mama pale DSM anaitwa Khadija Mwanamboka. Anaweza kukusaidia.
   
 3. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #3
  Jun 22, 2010
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  mzee hata mimi nilijitahhidi kuzunguka sana hapo dsm lakini wapi. Ukiyapata nijuze mkuu, na zile kaunda suti zaje simpo ni nzuri sana
   
 4. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #4
  Jun 22, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  si mumuulize anazipata wapi?
   
 5. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #5
  Jun 22, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  anatumiwa na mshkaji wake mmoja anyemiliki mgodi wa mwadui.
   
 6. K

  Katabazi JF-Expert Member

  #6
  Jun 23, 2010
  Joined: Feb 18, 2007
  Messages: 355
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Preta naomba niulizie dada-si unajua nyinyi kina dada anawasilikiliza zaidi kuliko njemba? na lingine unavyoweza wewe kumkaribia sisi wengine hatumuwezi japo ndio ingekuwa njia rahisi-NISAIDIE niko tayari kukupa utakacho kwenye uwezo wangu!:sing:
   
 7. N

  Nyauba JF-Expert Member

  #7
  Jun 23, 2010
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 1,098
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  hayoo mashati yapo Binti afrika, duka lipo kndoni karibu na msikiti wa mtambaniiii
   
 8. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #8
  Jun 23, 2010
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  haha haaakuwa anashonewa na fundi wa mkewe si wajua kipande kikibaki huwa tunawaambia mshonee na baba:biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1:
   
 9. K

  Katabazi JF-Expert Member

  #9
  Jun 23, 2010
  Joined: Feb 18, 2007
  Messages: 355
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nakushukuru sana huo msikiti ni karibu na maeneo yapi Karibu na Makaburini au A au b,. natafuta mahali pa kuanzia,natanguliza shukurani.
   
Loading...