Masharti ya mazishi ya Wakili Munuo

Biblia ina contradictions nyingi sana, hivyo si authority.

Chochote kinachotarajiwa, hakina hakika,ndiyo maana kinatarajiwa.

Kutarajia ni kuwa na matumaini kuhusu kitu ambacho hakina hakika.
Ndio umeandika nini hiki jaman? Aisee
 
Unasumbuliwa na "kiburi" cha uzima. uzima ukiteteleka kwa namna yoyote ile utamkumbuka Mungu, utamtafuta na unaweza kuwa umechelewa.
Hayo maneno zama hizi si silaha tena yanakushushia credibility maana unaonesha haupo huru katika imani yako

mtoto anayeenda kwa viboko ni sawa na wewe mlokole unayetenda mema baada ya kutishiwa moto.... Wote hamko huru
 
HUJUI KITU BADO, YAKUPASA UWE TAYARI KUJIFUNZA ILI UELEWE

1. Mfalme Nebukadreza aligeuzwa kuwa mnyama miaka 7 akala majani kwa kuwa alikuwa na kiburi na alijifunza kuwa yupo Mungu kupitia hilo pigo

2. Farao na wamisri walipigwa mapigo Saba ikiwa ni pamoja na kufiwa wazaliwa wao wote wa kwanza kwa sababu ya kiburi na kukana uwepo wa Mungu, na walikiri uwepo wa Mungu kupiti mapigo hayo

3. Sauli kabla hajaitwa PAULO walipigwa upofu na akajifuza namna sahihi ya kumtumikia Mungu wa kweli.

4. Mungu aliwanyima Israel mvua miaka mitatu kwa neno la nabii Elia. Watu na wanyama walikufa. Watu walimrudia Mungu kupitia thiki hiyo.

Kuna mifano mingi sana.. JE UNATAKA KUINGIA KATIKA MIFANO HIYO KWA KUFANYA SHINGO YAKO KUWA NGUMU?

HATA HIVYO MUNGU ANASEMA MTOTO AONYWE KWA FIMBO

(Proverbs 23:13–14
13 Do not withhold correction from a child,
For if you beat him with a rod, he will not die.14 You shall beat him with a rod,
And deliver his soul from hell.

Mithali 23:13
Usimnyime mtoto wako mapigo; Maana ukimpiga kwa fimbo hatakufa.)
 
Mungu aliyeua watoto wa kiume wa kwanza (wasio na hatia) kwa ajili ya kumkomoa farao ili awaachie waizrael Mungu huyu hana sifa ya upendo wote wala hafai kuabudiwa.

Sasa hao watoto walifanya kosa gani? Au walihuskika vipi na kiburi cha farao mpaka mungu akaamua kuwaua?

Huyo mungu hakua na option nyingine ya kumfanya farao afate matakwa yake bila kuua watoto wasio na hatia?

Kwanini Mungu huyu anaonekana kupenda ligi na viumbe ambavyo viko chini yake?

Kwanini huyu Mungu ameonekana kumjali sana adui yake kuliko kiumbe chake kisicho na hatia kiasi kwamba hawezi kumuangamiza adui yake ili ubaya ukome hapo badala yake anaua kiumbe kingine kisicho na hatia?

Kwanini Mungu hakumuua farao mwenye dhambi zilizomkasirisha akaamua kuua watoto wasio na hatia wasio husika kivyovyote na makosa ya farao?

Kwanini Mungu hakumuua shetani ili ubaya uishe (ni kwasababu adui kwake ni bora zaidi kuliko kiumbe chema?)
Kwasababu hata shetani mwenye sifa za ubaya ambaye tulitegemea ukatili kama huu yeye ndiye angekua chanzo lakini hatumuoni akifanya hivyo

tukianza kuangalia historia ya idadi ya watu waliouliwa kwenye biblia ni wazi Mungu mwenye upendo wote na mwingi wa rehema kaua mamilion ya watu wengi sana kumzidi shetani. Kwa tafsiri ya haraka hapa shetani ndio mungu na kinyume chake

Huyo mungu katengenezwa kwa mindset za kiutu na ndio maana ana imperfections nyingi zinazomshushia credibility
 
Wewe unaye Mungu wako, au huna Mungu?
 
Wajinga watamshangaa sana kwa sababu wameshaamilishwa mila za kiarabu na za kizungu kuhusu mazishi ndio sahihi.Kimsingi Mungu aliumba kila jamii na Lugha zake ,mila zake, tango na mfanano wake na kuiga mila za jamii zingine ni sawa sawa na wanawake wanaojichubua ngozi wawe kama wazungu na waarabu
 
Binadamu ukisha kufa unakua hua faida tena, lolote litakalofanyika nyuma yako halina manufaa yeyote kwako, baada ya kifo kitakachokusaidia ni matendo yako mema uliyokua ukiyafanya enzi za uhai wako, zingine mbwembwe tu.
Sawa lakini usisahau kwamba mtu anapokufa, kuzikwa ndiyo hitimisho la safari yake hapa duniani.

Sent from my TECNO L9 Plus using JamiiForums mobile app
 
Hayo ni yake bwana Munuo siku ya ufufuo ndiyo atajua hakujua kuna msemo ni heri uamini kuna Mungu halafu usimkute kuliko kuamini hakuna Mungu halafu uje ukutane naye hapo ndipo patakuwa kilio na kusaga meno
Atalia namkusaga meno kwa sababu gani, wengine husema "matendo yako ndiyo yatakayopimwa", je kama alikuwa mtu mwema kuliko hata hawa manabii wa sasa⁉️
 
MASHARTI YA MAZISHI YA BW. NICHOLAUS IMBIANDUMI NDAASHUKA MUNUO @ Lord MUNUO!!!

LORD MUNUO, Wakili maarufu wa Arusha, ametamgulia mbele za haki.

MASHARTI YAKE:

1. Atazikwa na ngozi bila jeneza na amesema atazikwa na ngozi ya Chui
2. Mwili wake utafungwa na masago ya migomba
3. Anazikwa mwenye zizi la ng'ombe ambalo lipo maji ya chai ambako alikuwa anafuga mifugo yake
4. Kaburi lake litawekwa Kinyesi cha ngombe tu bila udongo
5. Hakuna kuomboleza
6. Walioalikwa tu ndio watakaohudhuria mazishi kwa maana ya wanafamilia tu
7. Anazikwa kimila na familia yake na hakuna kanisa au msikiti uloalikwa
8. Jina lake ni Nicholas Imbiandumi Ndaashuka Munuo ila alienda kuapa mahakamani akajibadolisha jina akaitwa Lord Ng'uni Imbiandumi Ndaashuka Munuo. Ng'uni ni kijiji alichozaliwa
9. Ng'uni ndiko makao makuu ya Bantu Union ambako yeye ndiuo founder wake alikuwa na president wake

Mengine naendelea kuyafuatilia kuna masharti inasemekana 100 yameandikwa kisheria
Tuletee picha, kunaweza kuwepo fundisho hapa
 
Back
Top Bottom