Kwahiyo yeye na baba yake wamefuata utaratibu huo kule Dakawa?
[/QUOTE]
Familia ya Ali Hasan Mwinyi ina uraia pacha.
 
Halafu wa Zanzibar waliojazana hadi Makanyagio Mpanda mkoani Katavi ndio wanalalamika tunawanyonya
 
Hata hapa Mkuranga,Mwinyi Sr na Mwinyi Jr wote wanamiliki maelfu ya hekari za ardhi.
Watuambie wao wanamilikije!!??
Wao ni wa "Tanganyika",Zanzibar au "Zanzibara"!!???
Wasituletee ujinga wao wa kiembembuzi
 
Wazanzibar mambo yao yapo wazi na ni yamenyooka muda mrefu sana sisi kwetu huku wabara sijui ndo tunajipendekezaga
 
Hata bara, ukipewa ardhi, unamiliki kwa mda maalumu🤷‍♂️😁ikiisha unaomba tena,, kuna miaka 40 au 99 kama sikosei
Hiyo ya zanzibar na bara ni tofauti kabisa.Huku bara kwenye hati ndio itaandikwa ni miaka ni au 33,66,99.na una uhuru wa kujenga chochote kile unachokitaka muda huo ukifika unaenda tu unapewa hati nyingine,lakini kwa zanzibar ni tofauti kabisa kwani unapewa kama muwekezaji lazima uonyeshe unahitaji ardhi hiyo kwa uwekezaji gani!!!?
 
2050 kutakuwa na watanzania wenye asili ya zanzibar bara wengi tu,hizi kanuni za kishamba zitafutwa.
 
Hiyo ya zanzibar na bara ni tofauti kabisa.Huku bara kwenye hati ndio itaandikwa ni miaka ni au 33,66,99.na una uhuru wa kujenga chochote kile unachokitaka muda huo ukifika unaenda tu unapewa hati nyingine,lakini kwa zanzibar ni tofauti kabisa kwani unapewa kama muwekezaji lazima uonyeshe unahitaji ardhi hiyo kwa uwekezaji gani!!!?
Because kinchi chenyewe ni hekali 20,we unategemea nini?, Nyerere hakua mjinga kukubaliana kuwa ili kulinda zanzibar identity, lazima hivyo,, kuna vitu vilikua considered deeply kabla ya huu muungano,, kwa mtu mwenye akili nyepesi hawezi kuona logic yake🤷🏽‍♂️
 
ARDHI SI JAMBO LA MUUNGANO
Wazanzibar nao hawaruhusiwi kumiliki ardhi bara ila wanaweza omba kibali cha ukaazi ama uwekezaji ili wajenge
Sasa kama kamiliki ardhi ujue ni kinyume na masharti ya Mambo yasiyo ya Muungano

Unaweza kuweka hicho kifungu cha sheria?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom