Masharti ya kumuekea mtu dhaman ni magumu, kuliko unavyofikiria | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Masharti ya kumuekea mtu dhaman ni magumu, kuliko unavyofikiria

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Mzalendo80, Dec 21, 2011.

 1. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #1
  Dec 21, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  [FONT=&quot]Wana JF kuna sheria moja ya kipumbavu hapa Tanzania inanikera , Sheria ya kumdhamini mtu aliyekamatwa na kupelekwa Mahakamani. Hii Sheria ya kusema mzamini awasilishe hati ya mali isiyohamishika inanikera sana, hata kwa makosa ya kijinga uzamini unakuwa mgumu. Kwa nini sheria hiyo isutumike kwenye kummuekea dhamana Mgeni (Foreigner) ambaye sio Mtanzania? Je kuna haja gani ya kuweka ya kummuekea masharti magumu mzawa wa nchii hii katika kupata dhamana? wakati hata kama akikimbia lazima atarudi nyumbani, kuliko mgeni akikimbia harudi tena. Katiba mpya ni muhimu kwetu ili tuweze kurekebisha hizo sheria za kipumbavu na za kijinga kama hii. I am tired and sick of CCM constitution, we want our own constitution now itÂ’s time to stand and fight for our right.[/FONT]
   
 2. Chivalrous

  Chivalrous Senior Member

  #2
  Dec 29, 2011
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 149
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 45
  Mara nyingi hilo huwekwa ili kuhakikisha kwamba mtuhumiwa hakimbii mikono ya sheria na anahukumiwa kwa haki, otherwise watuhumiwa wasingewekewa hivyo vipingamizi ingekua matatizo makubwa sana kwa mahakama na polisi kwa ujumla.
   
Loading...