Masharobaro na Tz yetu

Ndokororo

Member
May 10, 2011
38
3
Wana jf kumekuwa na watu wanajiita sharobaro tz,na nasikia wana raisi wao.hv hiki ni chama,kampuni,saccos au ni kitu gani jaman.?ni nin sifa za kuwa member?umri gan au jinsia na rika gan wanafaa kuwa sharobaro.naomba details jaman.
 
angalia maana ya sharobaro kwenye kamusi - ni binti mtanasharti anayevutia vijana wa kiume. Kazi kwenu.
 
hebu toa upupu wako humu,umeshindwa kwenda kuuliza kwenye radio au magazeti ya udaku............
 
anyone anaweza kuwa sharobaro,..either a gal or a boy...im a teenager gal n im known as KA-SMALL SHAROBARO,..ni uamuz tu..cdhan kama usharobaro una qualifications...its ur own choice....sio chama wala nini ni maamuz tu m2 anajiita sharobaro president...no registeration...:happy:
 
Category: Ni chama...

Sifa: Weka nywele dawa, jichubue ungare zaidi, kama wewe ni mwanaume inabidi uwe na pozi za kike kwa sana, sauti yako isiwe real..uwe unabana pua ukiongea, suruali zako(hasa za jinzi) ziwe na chain kiunoni-hii anapenda sana Rais wao..uwe mtu wa show-off..yani kujionyeshaonyesha kwamba nawe upoupo..na nyingine nyingi wengine wataongezea.

Umri: Kama wewe ni mwanaume umri wa kuanzia ni miaka 18,na kama ni mwanammke ni miaka 15 and above

Hawabagui,ni jinsia yoyote ile,Unakaribishwa.
 
Kaka kupitia sifa zote hizo kama ni dume kweli hapo kunaulakini!:happy:
 
Category: Ni chama...

Sifa: Weka nywele dawa, jichubue ungare zaidi, kama wewe ni mwanaume inabidi uwe na pozi za kike kwa sana, sauti yako isiwe real..uwe unabana pua ukiongea, suruali zako(hasa za jinzi) ziwe na chain kiunoni-hii anapenda sana Rais wao..uwe mtu wa show-off..yani kujionyeshaonyesha kwamba nawe upoupo..na nyingine nyingi wengine wataongezea.

Umri: Kama wewe ni mwanaume umri wa kuanzia ni miaka 18,na kama ni mwanammke ni miaka 15 and above

Hawabagui,ni jinsia yoyote ile,Unakaribishwa.

kwa kuongezea..shurt na nguo la ndani aka pensi au gagulo liwe juu ya jinz..akitembea likae apo nje..:A S 109:
 
Wana jf kumekuwa na watu wanajiita sharobaro tz,na nasikia wana raisi wao.hv hiki ni chama,kampuni,saccos au ni kitu gani jaman.?ni nin sifa za kuwa member?umri gan au jinsia na rika gan wanafaa kuwa sharobaro.naomba details jaman.

bwana mdogo kabla huja post em anaglia kwanza upo jukwaa gani! huu ni ujinga kwa hili jukwaa.
hapa watu tup[o siriaz, utotototo kawauize watoto wenzako huko michezoni kwenu.
 
Back
Top Bottom