'Mashangingi' ya Viongozi wa Taifa: Hili ni jini la kunyonya pesa za Wananchi

Ukitengeneza hayo madawati, itakuwa ni hitimisho la uhitaji wa madawati? Acha roho ya kwanini kijana acha wapate magari mazuri ili kila kijana ajitahidi kusoma ili naye akifanikiwa ayapande.
we nae ni mjinga sana, VX V8 ya nini kwa DC? Kwanini asitumie Prado ya milioni 100 tu hizi 200 zifanye kitu kingine??
 
Back
Top Bottom