Mashangingi ya Mawaziri haya hapa

Kituku

JF-Expert Member
Nov 18, 2010
238
24
Nimesoma kwenye article ndani ya mwananchi NP Mawaziri wapya wamekabidhiwa Toyara GX v8 gharama yake ni kati ya sh M 210-240, jamani, nimejaribu kucalculate hapa kwa wizara zilizotajwa ni balaa.. Hivi Pinda si ndiye waziri aliyependekeza na kutoa wazo la kupunguza aina hizi za gari? kwanini viongozi wetu hawatafakari hili angalau tukaiga wenzetu wa Kenya.......kweli???? maendeleo vijijini yatakuja kweli bilioni zote zinatumika barabarani na wakuu +Mafuta ya gari?? ?
Wadau hili likoje hapa???
 
Hayo ni matokeo ya ukubwa wa baraza la JK na aina ya magari yaliyoamriwa kutuwa na waheshimiwa hawa............
 
Sasa kwani wananchi si wanayapenda haya mashangingi pinda hawezi pinga mipango ya
wananchi ,kinachotakiwa wananchi wayakatae haya magari na viongozi wanayoyatumia haya
magari .Otherwise hata nikiwa mimi ntayatumia hayohayo au V12 au kubwa zaidi kwakuwa
linatumia kodi za wananchi.
 
Endeleeni kuichagua CCM kwa mshahara wa khanga, kapelo, vitenge na "bongo flava za bure".....

CDM wangefuta hilo
 
Back
Top Bottom