Mashambulizi ya kujitoa mhanga yatokea nchini Russia muda huu

Ubavu

JF-Expert Member
Jun 19, 2012
2,790
3,254
Three suicide bombers have launched attacks in Russia's Stavropol region in the north Caucasus, the Interfax news agency reports, with a police station thought to have been among the targets.

Source: the independents.
Sijajua kama ni mashambulizi ya kigaidi but in hatari..
 
Niliisoma hii taarifa .
IMG_20160411_110729.png
 
I see,hayo yasije yakatukuta katika nchi zetu hizi wanazoziita dunia ya tatu...maana itakuwa ni mfululizo wa mauaji.Wayamalize haya matatizo mapema maana mwisho wa siku tutamalizana wenyewe.
 
Looh kuna jamii nyingi jamani zinateseka na hivi vita jamani naomba Mungu yasifike tu kwetu tu maana
 
Hiyo ndio ilikuwa inahalalisha vita vya Chechniya, na ndio iliyosababisha umaarufu wa Putin. Jaribu kupitia Russian apartment bombings.
ni kweli putin alitumia hio janja sana lakin c kwamba millitia wa chechniya walikuwa hawafanyi suicide bombing walikuwa wanafanya sana ndio mana ikawa rahisi kuwasingizia bombing zngne wasizohusika nazo ili kupata justification ya kuwapiga
 
Wanajeshi wa Chechniya hawajawahi kuingia moja kwa moja kwenye mashambulizi dhidi ya Urusi kwa sababu wanajua watapigwa na kushindwa. Kilichofanyika mwanzo ilikuwa ni kuanzisha madai ya kudai taifa huru kwa njia ya mazungumzo, jambo ambalo liliungwa mkono na mataifa ya ulaya ya magharibi. Ili kupoteza malengo na kuulaghai ulimwengu kuhusu madai ya Chechniya, Urusi iliamuru kuja na mkakati kama huo.
yeah mataifa makubwa yana janja nyingi sana aisee...russia walishajua janja yao jamaa
 
Naam, sasa subiri tamko na vitendo kutoka Kremlin kuhusu ugaidi na matukio yanayoendelea Syria. Utakuja kunipa jibu hapa.
yes but putin inatakiwa awe smart sn kuhusu syria coz America kwe sehem km hzi huwa anakuwa na objectives nying mno na huwa anafanikiwa kufanikisha baadhi kama c zote....naona turkey na russia wameshatoka kwe urafk mkubwa na kuwa maadui wakubwa,putin inabidi awe makin coz syria na ukraine haihusu sana vita vya kawaida bali economic warfare hapa usipokuwa makini unajijengea economic na political barriers ambazo kwa dunia ya sasa ndio vita vinavyopiganwa sana....inatakiwa kumtumia sana iran pia kama turkey saudi wanavyotumika kwa US ilikureduce cost na kugawana consequences ikitokea mambo yakienda tofauti
 
I see,hayo yasije yakatukuta katika nchi zetu hizi wanazoziita dunia ya tatu...maana itakuwa ni mfululizo wa mauaji.Wayamalize haya matatizo mapema maana mwisho wa siku tutamalizana wenyewe.
Mbona tayari yana tokea, Kenya :west get, garisa, uganda walilipuliwa kwenye ukumbi wa starehe................
 
Nasubiri taarifa zaidi na majina yao ili kujua kama kazi ya mazombi cc: MOTOCHINI

Umeona ndugu zako sasa (American terrorists) wameingia hadi Russia? Nakuhakikishia puttin atawamaliza nyote nyie.endeleeni tu kutengeneza vikundi hivyo ipo cku mtajuta,
 
Mafanikio ya Amerika yatatimia endapo rais Assad atatolewa madarakani, jambo ambalo limekuwa gumu kutokana na uhusika wa Urusi katika vita vya Syria. Urusi hana cha kupoteza kwa sababu ndio taifa pekee lililoombwa na serikali ya Syria kushiriki vita dhidi ya vikundi vya kigaidi vinavyoaminika kuwa na mkono wa mataifa ya magharibi. Mataifa mengine kama Uturuki, Saudi Arabia na nchi nyingine za Ulaya zinatumiwa na Amerika na tunaona ndio waathirika wakubwa kutokana na wimbi la wakimbizi kutoka nchini Syria.
ni kweli mkuu nachokisema mm marekan huwa wana madhumun meng sana pnd wanapoinjinia migogoro kama hii ingawa wewe unaona kwamba russia has nothinh to lose ila kinachotokea ni kwamba russia imekuwa involved sana kwe vita vya ukraine na syria,kumbuka ukraine since 2014 amekuwa akiwahudumia wale separatist kwa silaha na kila kitu na sasa yupo syria ambako ypo active involved pia,ukiangalia uchumi wa russia umekuwa affected sana na sanctions pamoja na kuporomoka bei za mafuta na gas vitu hivi vnaleta hasara kubwa kwe russia economy ukizngatia haielewek vta hizi mbili zitaisha lin,so kitu nlichkua naongelea hapa ni kwamba russia wajitahidi kubalance mambo coz vitu kama hivi mfano vita vya afghanstan enzi zile,kuporomoka bei ya mafuta na arm race ni moja ya vitu ambavyo vilichangia USSR kuporomoka, so wasirudie mistakes wajipange vizuri maana mataifa ya magharibi washazoea mambo hayo ya kifedhu
 
Back
Top Bottom