Mashambulio ya Magaidi nchini Uganda, Tanzania tuna la kujifunza

mwanausangi

JF-Expert Member
Nov 4, 2021
548
608
Salaam wanajamvi,
Kutokana na mashambulio mfululizo ya magaidi nchi jirani ya Uganda kwa Museven, Tanzania tuna jambo la kujifunza kama nchi upande wa usalama, naishauri serikali kupitia vyombo vyake vyote vya ulinzi na usalama kuongeza intelijensia yao na kuhakikisha vitendo hvo havitokei nchini kwetu maana wote tunajua gaidi hana alama!!

MUNGU IBARIKI TANZANIA!MUNGU WABARIKI WANANCHI WAKE.
 
M7 ni muhuni tu wana usalama wa uganda wanapanga mshambulio wenyewe kwa mipango ya pesa na kukamata upizani wao pamoja na waislamu, wewe sikiliza wa bunge wa upizani wanavo sema, yaani mtu anajilipua tayari unajina lake na kitambulisho chake, wale ni wa piga pesa hamna lolote.
 
ISIS wamekiri kuhuska na shambulio ilo, ila we ambae hujui hata kushika rungu unasema wanasingiziwa.

HAMTOKUWA RADHI HADI TUFUATE DINI YENU.
SURAT 9:19 MABULA
 
Fuatilia vizuri acha kulishwa matanga pori mkuu, hiyo sio website ya Isis, hiyo bomu ni binu za wanausalama wa M7 mbona waganda wote wamesha elewa sasa.
 
Hapa kwetu watu wanaigiza UGAIDI
Natamani siku moja wakafyatua hata naruto tu pale central .
 
Salaam wanajamvi,
Kutokana na mashambulio mfululizo ya magaidi nchi jirani ya Uganda kwa Museven, Tanzania tuna jambo la kujifunza kama nchi upande wa usalama, naishauri serikali kupitia vyombo vyake vyote vya ulinzi na usalama kuongeza intelijensia yao na kuhakikisha vitendo hvo havitokei nchini kwetu maana wote tunajua gaidi hana alama!!

MUNGU IBARIKI TANZANIA!MUNGU WABARIKI WANANCHI WAKE.
Uganda hakuna Ugaidi Ule uhuni na utopolo wa M7 kutaka kuchulia advantage kukamata mahasimu wake kwa kisingizio cha Ugaidi
 
Salaam wanajamvi,
Kutokana na mashambulio mfululizo ya magaidi nchi jirani ya Uganda kwa Museven, Tanzania tuna jambo la kujifunza kama nchi upande wa usalama, naishauri serikali kupitia vyombo vyake vyote vya ulinzi na usalama kuongeza intelijensia yao na kuhakikisha vitendo hvo havitokei nchini kwetu maana wote tunajua gaidi hana alama!!

MUNGU IBARIKI TANZANIA!MUNGU WABARIKI WANANCHI WAKE.

A37E4CA8-D781-4598-AF29-DA2E004E29AD.jpeg
 
Salaam wanajamvi,
Kutokana na mashambulio mfululizo ya magaidi nchi jirani ya Uganda kwa Museven, Tanzania tuna jambo la kujifunza kama nchi upande wa usalama, naishauri serikali kupitia vyombo vyake vyote vya ulinzi na usalama kuongeza intelijensia yao na kuhakikisha vitendo hvo havitokei nchini kwetu maana wote tunajua gaidi hana alama!!

MUNGU IBARIKI TANZANIA!MUNGU WABARIKI WANANCHI WAKE.
Sisi magaidi wetu ni Mbowe na Adamoo na tumekwisha wadhibiti , Hakuna tishio tena
 
Halafu hatuna la kujifunza ndio maana tumeruhusu jeshi la Rwanda likamsaidie jirani yetu msumbiji, ambapo watalipwa mabilioni ya pesa na msumbiji kwa kulinda amani huko na watafanya ujasusi murua upande wetu huku sisi tunacheza ngoma kushangilia halafu magaidi wa msumbiji watakuja kujificha kwetu
 
duh kaka usiliombee hili litokee aiseee
 
Fuatilia vizuri acha kulishwa matanga pori mkuu, hiyo sio website ya Isis, hiyo bomu ni binu za wanausalama wa M7 mbona waganda wote wamesha elewa sasa.
Nadhani unapaswa kuweka hapa icho unachodai mimi sijakifuatiliana, sio kunitaka nifuatilie tu.
nitafuatiliaje kitu ambacho sijapata pa kuanzia?
weka hapa source ya claims zako nje na hivyo ni porojo tu.
mimi nimeweka link ambayo kwa mujibu wako sijafuatilia kiundani, sasa wewe uliefuatilia weka hapa hiyo link ya wanausalama wa m7 wanalipua mabomu.
 
Back
Top Bottom