Mashamba yenye Miti ya mbao yanauzwa

gwivaha

Member
Apr 29, 2017
47
17
Yapo mkoani NJOMBE
Yanauzwa pamoja na Ardhi
Lipo lenye Miti aina ya crutus( mlingoti) ambayo inatumika kwa milunda,nguzo za umeme na mbao linaukubwa Wa ekar moja na nusu na bei ni milion 3
Na Miti INA umri Wa miaka mitano shamban
Lipo jingine lenye Miti aina ya pine kwa ajili ya mbao
Linaukubwa Wa ekar 42 kati ya hizi 12 zina Miti na 30 ni tupu
Bei ni million 15
Kwa mawasiliano zaidi nipigie 0764426929,0655726929 au 0742188846
 
ekari 1½ kwa milioni 3 pamoja na ardhi!!???

kuna uwezekano mtu hapa anamkopo benki na shamba ndilo bondi. lazima mtu alizwe tu hakuna namna
 
Hapa ndo huwa nawashangaa watanzania kuna mtu moyo wake unatamani atumiwe picha ya hilo shamba na yy atatuma mpesa na kuendelea kuulizia shamba linaendeleaje kuna muda unatamani kufanya hii kazi hawaishii wateja wa kulizwa
 
Mmhhhh huna kitu
 
Back
Top Bottom