Mashamba yanauzwa mbezi ya kimara njia ya kuelekea mbezi beach

nimesema miguu 25 kwa 20'

Mkuu Majanikv
Una dalili zote za kuwa dalali wa kuuza ardhi na hii ni hatari.
Kwa jinsi unavojieleza kuwa unauza hatua 20 kwa 25 inanipa wasi wasi kuwa huna uhakika unauza nini.
Una offer au una hati za hivyo viwanja?
Na waliokupimia (Wizara ya Ardhi) nao walipima hatua?
Nyie ndo mnaharibu maendeleo ya Jiji la DSM kwa kuingiza ulafi wa pesa katika ardhi na hatimaye kuwa na squatters kila mahali.
Nina uhakika hapo unapouza hamna barabara wala huduma muhimu kama umeme na maji.
Sasa bei hiyo ineweza kuonekana ndogo lakini wakinunua watu wengi sehemu hiyo ndo unakuta choo cha ghorofa kinachunguliana na sitting room ya jirani.
Kam watu wa Ardhi mpo humu JF simu za mtu huyu mnayo, chunguzeni
 
mkuu hayo mashamba yapo kabisa na barabara kuu ya kuelekea mbezi beach'umeme upo maji yapo'kama unahitaji nitafute hadi heka 1 kama unataka mkuu wewe niambie
 
Mkuu Majanikv
Una dalili zote za kuwa dalali wa kuuza ardhi na hii ni hatari.
Kwa jinsi unavojieleza kuwa unauza hatua 20 kwa 25 inanipa wasi wasi kuwa huna uhakika unauza nini.
Una offer au una hati za hivyo viwanja?
Na waliokupimia (Wizara ya Ardhi) nao walipima hatua?
Nyie ndo mnaharibu maendeleo ya Jiji la DSM kwa kuingiza ulafi wa pesa katika ardhi na hatimaye kuwa na squatters kila mahali.
Nina uhakika hapo unapouza hamna barabara wala huduma muhimu kama umeme na maji.
Sasa bei hiyo ineweza kuonekana ndogo lakini wakinunua watu wengi sehemu hiyo ndo unakuta choo cha ghorofa kinachunguliana na sitting room ya jirani.
Kam watu wa Ardhi mpo humu JF simu za mtu huyu mnayo, chunguzeni

mkuu hayo mashamba yapo kabisa na barabara kuu ya kuelekea mbezi beach'umeme upo maji yapo'kama unahitaji nitafute hadi heka 1 kama unataka mkuu wewe niambie'hati kila kitu zipo
 
Wakuu mashamba mazuri yako surveyed hatua 20 kwa 25 milion 3.5 tsh

YAANI HATUA 20 kwa 25 unaliita ni shamba? hiyo ni sawa na mita 16 kwa 20 au chini ya mita hizo hata hiyo bei ya 3.5ml kwa kiplot kidogo namna hiyo badi ni ya juu
 
Habari zinatofautiana sana, mashamba hayo hayo mtu kanipigia simu jana kwa shilingi laki tatu na nusu (350,000) leo yamekuwa 3.5m?
 
Back
Top Bottom