Mashamba yanauzwa mbezi ya kimara njia ya kuelekea mbezi beach | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mashamba yanauzwa mbezi ya kimara njia ya kuelekea mbezi beach

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by FredKavishe, Jun 8, 2011.

 1. F

  FredKavishe Verified User

  #1
  Jun 8, 2011
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 1,090
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Wakuu mashamba mazuri yako surveyed hatua 20 kwa 25 milion 3.5 tsh
   
 2. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #2
  Jun 8, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Habari yako ni nzuri sana lakini hujaweka kama upo serious hebu niambie mimi nikiwa nahitaji nifanye nini? hujaweka hata mawasiliano
   
 3. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #3
  Jun 8, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,015
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Mbezi ya kimara?
  Njia ya kuelekea mbezi beach?
  Fafanua mkuu?
   
 4. M

  Maga JF-Expert Member

  #4
  Jun 8, 2011
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 325
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Kama changa la macho vile!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 5. KIMICHIO

  KIMICHIO JF-Expert Member

  #5
  Jun 8, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 1,184
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  We siyo dalali kweli??
   
 6. E

  Engineer B Member

  #6
  Jun 8, 2011
  Joined: May 30, 2011
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  weka mawasiliano!!
   
 7. F

  FredKavishe Verified User

  #7
  Jun 8, 2011
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 1,090
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  no yangu ni 0714519880
   
 8. F

  FredKavishe Verified User

  #8
  Jun 8, 2011
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 1,090
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  yap mkuu kuna njia ile unatokea masanna hospital no yangu ni 0714519880
   
 9. F

  FredKavishe Verified User

  #9
  Jun 8, 2011
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 1,090
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  no 0714519880
   
 10. F

  FredKavishe Verified User

  #10
  Jun 8, 2011
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 1,090
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  no yangu hyo nitafute 0714519880
   
 11. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #11
  Jun 8, 2011
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Mkuu with all due respect,
  shamba?
  Mita 20 kwa 25?
  Where is our sense of farming.:confused2:
  Doesn't look like a shamba to me, a plot probably
   
 12. F

  FredKavishe Verified User

  #12
  Jun 8, 2011
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 1,090
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  nimesema miguu 25 kwa 20'
   
 13. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #13
  Jun 8, 2011
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,918
  Likes Received: 2,068
  Trophy Points: 280
  Sasa hatua moja si ni ndogo kuliko mita moja? So hoja ya mjumbe kwamba sio 'shamba' (kilimo) bali ni 'kiwanja' (ujenzi) ipo valid!
   
 14. C

  Cremo joe joe Member

  #14
  Jun 8, 2011
  Joined: Jun 5, 2011
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mbez kimara unaenda mail moja,
  mbez beach unaenda bagamoyo.
  Ngaz ya gipsum kapanda tembo. kwinkwi.
   
 15. F

  FredKavishe Verified User

  #15
  Jun 8, 2011
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 1,090
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  yap'mkuu
   
 16. Magogwajr

  Magogwajr JF-Expert Member

  #16
  Jun 8, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 223
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  jamani kuweni makini ardhi haiuzwi kama unanunua shati au nguo ubungo. Msije mkakurupuka. Just important tips unapotaka kununua ardhi ambayo imepimwa.
  1. Hakikisha anayekuuzia ni mmiliki halala wa kiwanja au shamba

  2. Awe anafahamika kwa mwenyekiti, mjumbe na mtendaji kata wa eneo husika kwamba yeye ndie mmiliki halali.

  3. Kama ardhi imepimwa awe na hati au title ya hicho kiwanja au shamba

  4. Kama hana tafuta land surveyor akusaidie kuangalia km hilo eneo kwenye master plan limepangiwa matumizi gani na km barabara haipiti kwenye kiwanja unachotaka kununua.

  5. Kama ana hati au title ya kiwanja chukua title number mara nyingi ipo juu ya hati. Then nenda wizara ya ardhi kufanya title search pale utapata taarifa rasmi za kuthibitisha kama anayekuuzia ni mmliliki halali wa hicho kiwanja au shamba.

  So due care and buyer be aware is needed when u r buying land
   
 17. Magogwajr

  Magogwajr JF-Expert Member

  #17
  Jun 8, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 223
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  unanipa wasi wasi kuamini kama pamepimwa hapo. Hesabu za vipimo ni miguu sio mita au mnafanya subdivision ya shamba kwa watu wengi.?
   
 18. F

  FredKavishe Verified User

  #18
  Jun 8, 2011
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 1,090
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  pamepimwa mkuu kila kitu kipo.wasiwasi wako tu
   
 19. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #19
  Jun 8, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,015
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  pasenti yako ya udalali ngapi?
   
 20. M

  Masuke JF-Expert Member

  #20
  Jun 8, 2011
  Joined: Feb 28, 2008
  Messages: 4,606
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  Mkuu mashamba au plot, 20x25 unaita shamba? hebu sema kweli kama ni mashamba au ni plot.
   
Loading...