Mashamba yanauzwa mbwewe, ni Mkoa wa Pwani wilaya ya Chalinze njia ya kwenda Tanga kabla hujafika Mkata, mazao yanayokubali ni nafaka zote kama mahindi ufuta mtama karanga, fiwi, dengu, miembe, michungwa, ndimu. mihogo ndio usiseme n.k n.k bei ni laki 200,000 tu kwa eka moja kwa anayehitaji nione pm .
Karibu ulime ujikomboe kiuchumi hautojutia
 
Mashamba yanauzwa mbwewe, Ni Mkoa wa Pwani wilaya ya Chalinze njia ya kwenda Tanga kabla hujafika Mkata. Mazao yanayokubali ni nafaka zote kama Mahindi. Ufuta. Mtama. Karanga. Fiwi. Dengu. Miembe. Michungwa. Ndimu. Mihogo ndio usiseme n.k n.k. Bei ni laki 200,000 tu kwa eka moja. Kwa anayehitaji nione pm .
Karibu ulime ujikomboe kiuchumi.Hautojutia

Eka 70 X 70
Kwanini usingeacha mleta Mada ajibu mwenyewe??
Au ni wewe mwenyewe umeingia kwa ID ingine??
Manake sio kila mahali heka ni Mita 70 x70,
Wengine hutumia Sqm 4,047 kumaanisha heka, ambayo kitaalamu ndio sahihi,
Sasa unajikurupukia tu kumjibia mtu halafu uko wrong, dah
 
1 Acre = 4046 sqm
1 Hectare = 10,000 sqm.
Kiswahili chake huwa kinanichanganya sana!
Hapo mnachoongelea ni ni Acre or Hectare?
 
Namba za simu tutumie na mnauza kwahati ya kimahakama kwakua asaivi huu ni muda wa magufuli hataki muchezo ukinunua eneo una takiwa mpaka hati zitimie mpaka zakimahakama ikibidi hata hatimiliki
 
Utapatiwa ya kimahakama mkuu
 
Kama hati ni hadi mahakama na vyombo vya sheria vinahusika basi, weka mawasiliano hapa.
 
Mashamba yanauzwa mbwewe, Ni Mkoa wa Pwani wilaya ya Chalinze njia ya kwenda Tanga kabla hujafika Mkata. Mazao yanayokubali ni nafaka zote kama Mahindi. Ufuta. Mtama. Karanga. Fiwi. Dengu. Miembe. Michungwa. Ndimu. Mihogo ndio usiseme n.k n.k. Bei ni laki 200,000 tu kwa eka moja. Kwa anayehitaji nione pm .
Karibu ulime ujikomboe kiuchumi.Hautojutia
Mku lipo umbali gani kutoka barabarani. Upungufu wa bei upo
 
Back
Top Bottom