kenstar
JF-Expert Member
- Aug 24, 2015
- 2,276
- 1,441
SawaYanapatikana Mkuu nakutumia namba
SawaYanapatikana Mkuu nakutumia namba
Eka ina ukubwa hani kwa mita?
Mashamba yanauzwa mbwewe, Ni Mkoa wa Pwani wilaya ya Chalinze njia ya kwenda Tanga kabla hujafika Mkata. Mazao yanayokubali ni nafaka zote kama Mahindi. Ufuta. Mtama. Karanga. Fiwi. Dengu. Miembe. Michungwa. Ndimu. Mihogo ndio usiseme n.k n.k. Bei ni laki 200,000 tu kwa eka moja. Kwa anayehitaji nione pm .
Karibu ulime ujikomboe kiuchumi.Hautojutia
Kwanini usingeacha mleta Mada ajibu mwenyewe??Eka 70 X 70
1 Acre = 4046 sqmKwanini usingeacha mleta Mada ajibu mwenyewe??
Au ni wewe mwenyewe umeingia kwa ID ingine??
Manake sio kila mahali heka ni Mita 70 x70,
Wengine hutumia Sqm 4,047 kumaanisha heka, ambayo kitaalamu ndio sahihi,
Sasa unajikurupukia tu kumjibia mtu halafu uko wrong, dah
Inaongelewa Heka Mjomba, hiyo uliyoitaja mwanzo.1 Acre = 4046 sqm
1 Hectare = 10,000 sqm.
Kiswahili chake huwa kinanichanganya sana!
Hapo mnachoongelea ni ni Acre or Hectare?
Nakutumia mkuuMawasiliano ya simu je?
Hayapo karibu na mto wami Mkuu.hofu ondoahayo mashamba hayako karibu na mto wami
vipi hali ya mafuriko huko hakuna
Utapatiwa ya kimahakama mkuuNamba za simu tutumie na mnauza kwahati ya kimahakama kwakua asaivi huu ni muda wa magufuli hataki muchezo ukinunua eneo una takiwa mpaka hati zitimie mpaka zakimahakama ikibidi hata hatimiliki
Nitumie namba mkuuUtapatiwa ya kimahakama mkuu
Tayari nimekutumia mkuuNitumie namba mkuu
Nitumie nambaTayari nimekutumia mkuu
Mku lipo umbali gani kutoka barabarani. Upungufu wa bei upoMashamba yanauzwa mbwewe, Ni Mkoa wa Pwani wilaya ya Chalinze njia ya kwenda Tanga kabla hujafika Mkata. Mazao yanayokubali ni nafaka zote kama Mahindi. Ufuta. Mtama. Karanga. Fiwi. Dengu. Miembe. Michungwa. Ndimu. Mihogo ndio usiseme n.k n.k. Bei ni laki 200,000 tu kwa eka moja. Kwa anayehitaji nione pm .
Karibu ulime ujikomboe kiuchumi.Hautojutia
MmhEka ni 70 X 70